Kwanini wadada/wanawake wenye elimu kubwa ni rahisi kuwatongoza?

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,115
Reaction score
1,328
Heshima mbele wakuu,

Katika pita pita zangu nimegundua kuwa wanawake wenye elimu angalau kuanzia certificate,diploma,first degree na kuendelea ni rahisi sana kuwatongoza ukilinganisha na wanawake wenye elimu chini ya hapo...

Wadada/wanawake wenye elimu ya juu,kutongoza ni issue simple sana...unaanza saa mbili asubuhi,saa tatu anakupa promise,saba mchana unakabidhiwa mzigo wote.

Wenye Elimu ndogo sasa,
unaanza leo saa mbili asubuhi,
promise baada ya miezi miwili,
mzigo unapewa baada ya kupewa promise za uongo kama mara tatu au nne!!!

Je,ni nini hasa kinachangia hali hii?

Heshima mbele wakuu!
 
Kumbe ulipita pita tu haukufanya uchunguzi, ila wanasema kusoma sana mbele giza
 
Uchunguzi wako hauna mashiko - mwaga data.Ulitongoza wangapi wa kiwango cha elimu ya chini ya form 6 na wangapi wa kiwango cha juu ya form 4. Jee ni wangapi kati yao wamekubali na wangapi walikataa.
 
hivi wenye elimu ni kuanzia form 6? mi nilijua hata mimi std7 maana kama darasan pia nimekaa...

swala la kukubali hakuna darasa wala elimu
 
Hakika, hata mimi nakubaliana na wewe... sijui ndo kuelimika sana au vipi... yani mtu anakuwa rahisi rahisi tu..... na wanakuwa na wanaume wengi...
ne peuvent pas les comprendre.
 
Hawa wa level hii ni waelewa, wanafaham haki zao za msingi, wanajiamin, free brain to decide directly whether to accept or to reject.

Wale waliku na elimu ndogo hususani vijijin, waoga, wanaaibu, wanabanwa na mazingira ya kimilamila-kukubali haraka wanatafsiliwa kuwa ni umalaya na kukosa nidham ya uanauke, hawajiamini, wamejaa hofu sana ya maisha kwani lengo lao kuu nikuolewa, kukubali harakaharaka maana yake wanarisk chance za kuolewa kwa kupachikwa umalaya.
 
Mkuu ni kwa sababu wanakuwa wamekwishamegwa sana mpaka kufikia hiyo elimu unayoisema so wanakuwa wamekwishazoea hivyo hawaoni kama kuna issue mpya!
 
hivi wenye elimu ni kuanzia form 6? mi nilijua hata mimi std7 maana kama darasan pia nimekaa...

swala la kukubali hakuna darasa wala elimu

Hakika lugha ni tatizo kwako..
Nimesema wenye elimu kubwa..
Darasa la saba pia ni elimu ila ni ndogo...
 
^^
Kama kweli, basi rahisi kuwapata ngumu kuishi nao, the more they learn the more complicated they become
^^

Yes huo ndiyo ukweli na huhitaji research kwani hata rekodi ya kuvunjika mahusiano hata ndoa za watu wa level za elimu ya juu asilimia kubwa ni majanga na mashaka makuu.

Kujiamini kupita kiasi kwa watu wa level hiyo na kushindwa kwao kufuta masharti ya mahusiano, nidham na mipaka ya mme au mke katika mahusiano.
 
Mkuu ni kwa sababu wanakuwa wamekwishamegwa sana mpaka kufikia hiyo elimu unayoisema so wanakuwa wamekwishazoea hivyo hawaoni kama kuna issue mpya!

Inawezekana
 
Yes huo ndiyo ukweli na huhitaji research kwani hata rekodi ya kuvunjika mahusiano hata ndoa za watu wa level za elimu ya juu asilimia kubwa ni majanga na mashaka makuu.

Kujiamini kupita kiasi kwa watu wa level hiyo na kushindwa kwao kufuta masharti ya mahusiano, nidham na mipaka ya mme au mke katika mahusiano.

Mawazo yako yana mashiko mkuu!!
 
Hawa wa level hii ni waelewa, wanafaham haki zao za msingi, wanajiamin, free brain to decide directly whether to accept or to reject.

Wale waliku na elimu ndogo hususani vijijin, waoga, wanaaibu, wanabanwa na mazingira ya kimilamila-kukubali haraka wanatafsiliwa kuwa ni umalaya na kukosa nidham ya uanauke, hawajiamini, wamejaa hofu sana ya maisha kwani lengo lao kuu nikuolewa, kukubali harakaharaka maana yake wanarisk chance za kuolewa kwa kupachikwa umalaya.

Mawazo chanya ndo haya,
angalau napata mwanga hapa
 
Uchunguzi wako hauna mashiko - mwaga data.Ulitongoza wangapi wa kiwango cha elimu ya chini ya form 6 na wangapi wa kiwango cha juu ya form 4. Jee ni wangapi kati yao wamekubali na wangapi walikataa.

Hahahahaha nimetongoza wadada wengi wenye elimu ya juu bila kukataliwa...ila hawa wenye elimu ndogo ni wasumbufu mno hata akikubali utakuwa umetumia muda na nguvu nyingi
 
Yes huo ndiyo ukweli na huhitaji research kwani hata rekodi ya kuvunjika mahusiano hata ndoa za watu wa level za elimu ya juu asilimia kubwa ni majanga na mashaka makuu.

Kujiamini kupita kiasi kwa watu wa level hiyo na kushindwa kwao kufuta masharti ya mahusiano, nidham na mipaka ya mme au mke katika mahusiano.

hii ni sawa , ila hiyo ya kitongozwa kirahisi sijaifanyia research.

ukweli ni kua ndoa nyingi za watu waliosoma huvunjiaka haraka au kotowlewana kutokana na dharau... kwan utaniambia nini.. elimu inampa kila mmoja nguvu ya kujiamini na kua independent wakati wowote , kufanya maamuzi bila kujali .
 
Back
Top Bottom