Naombeni ushauri wanajf

Naombeni ushauri wanajf

Tky

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
439
Reaction score
140
Hiki kitu knasumbua xana akili yangu wakubwa naomba munipe ushauri nn nifanye. Siku moja alikuja rafiki angu na mwanamke akanitambulsha kuwa huyu ni mpnz wangu pasipo kujua yule mwanamke ametambulshwa. Tulipga stor hyo siku mpaka muda wakaondo, siku moja natoka darasani nilikutana na yule mwanamke akaniomba namba yangu na mimi sikusita nikampa kwani niliamin kua n shemeji angu, siku mbili tatu zikapta 2kanza kuchat nikiwa na mwita shemu, yule mdada akaniulza shemeji aka kwa nani nikamjibu si fulani, akawa nashangaa na akanambia yule ni best angu kama ww ulivyo me nikamini kwa sababu najua jamaa yangu anapenda sana kujisifia kua huyu mwanamke ni wangu na kilicho nifanya niamini zaid nilitambulshwa pasipo yule mwanamke kujua kua ametambulshwa kwng. Basi siku zikazid kwenda na tukazid kuendelea kuchart na kuonana stor sana. Siku moja katika kupiga stor tukajikuta tayar kila mtu ana hisia za mapenzi kwa mwenzie, basi kwa mara ya kwanza 2kasex kwanzia hapo out tunatoka sana mapenzi sana siku zilvyo zidi kwenda nikagundua kuwa anatoka na rafki ang aliye nambia ni best angu kama wewe, nataka nimwache huyu mwanamke nashndwa. Naombeni ushauri nifanye nini ili nimpotezee kabisa huyu mwanamke.
 
Historia inaonyesha zamani wanaume walikuwa wanachanganya sana wanawake kwa style hii....ila naona sasa kibao kimetugeukia!
Ila shukuru Mungu umelijua hilo asubui na mapema kabla hujavisha pete kahaba
 
Aisee amewachanganya! Mkuu ni hivi kama umedhamiria kumuacha, kwa vile simu ndiyo kiungo kikubwa katika mawasiliano yenu, anza kuonesha uzembe hapo, akipiga hupokei, sms hujibu atachoka,au hata unaanza kumuomba hela. Dah! Mapenzi haya.
 
Loh, kwa hiyo mlipiga story hadi mkagegedana? hizo story zilikuwa kiboko.
Halafu usimuache, na huyo nae anapiga nae story kama alizopiga na wewe....ni best tu!
 
Muombe rafiki yako akushauri. Yaani atakupa akili ya jinsi ya kumuacha.
 
Maamuzi ya kiume piga chini muheshimiane forever like nothing happened,utavunja urafik kisa papuchi ww! Be gentle
 
Naona tricks za wanaume sasa zinatumiwa na wadada...duuh!!
 
Kama umejarbu kumwacha umeshndwa cc tukusaidie nn,endeleni tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom