Guys watch out UKIMWI hauchagui......

Guys watch out UKIMWI hauchagui......

Ntigy

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
489
Reaction score
270
Habari wana JF! Jamani tuweni makini UKIMWI upo na hauchagui mtu,hivyo tunapaswa kuchukua tahadhari kubwa. Najua kuna watu wanachukulia UKIMWI kama ugonjwa wa kawaida ila kiukweli sio wa kawaida kiasi hicho kwani ni ugonjwa unaoweza kuzima ndoto zako ilihali una uwezo wa kujikinga kirahisi zaidi. Kilichonisukuma kuandika haya ni kile nilichokishuhudia leo. Leo nilienda hospitali kwa maswala ya kijamii,bahati mbaya nilitakiwa kuonana na dokta anayehusika na ushauri nasaha, nikiwa kwenye foleni,mbele yangu kulikuwa na watu wawili ambao niligundua ni wachumba wanaotarajia kufunga ndoa karibuni hivyo waliamua kucheck afya kwanza.Niliwaza kuwa wanapoteza muda wao bure kwani walikuwa ni wazee sana,hivyo nikajua haiwezekani wakutwe na virus kwa umri walionao. Muda ukafika wa wao kuingia kwa mnasihi,kwa bahati mbaya chumba cha mnasihi hakikuwa na privacy ya kutosha hivyo nilisikia baadhi ya maongezi yao ikiwemo umri, me ana miaka 78,ke ana miaka 74. Majibu yalionesha kuwa bibi yule ana virus,maskini babu wa watu akatahayari, akataka kuondoka bila hata kuaga huku akilaumu kuwa yule bibie angemuua bure! FUNZO:UKIMWI haupimwi kwa macho,take care.
 
..hata dengue ipo wakuu, tena inatisha!!
 
Watu wakiambiwa wabaki njia kuu wanaleta masihara eti ooh njia kuu ina foleni...
 
Hako kababu hakakuwa na "true love", kalitaka tu kumbwenga mwenzake alafu basi...sasa kwa kuwa kamkuta mpenzi wake kaathirika ndio amemaindi na kutaka kusepa ?

Angekuwa kweli amempenda kutoka rohoni ndio alipaswa kumuonyesha mwenzi wake mapenzi ya kweli...babu amechemka.
 
Mwanamke miaka 74 bado anatamani kuolewa? Ni ulaya? Mkuu huu ni uongo ulio wazi ila ujumbe wako umefika lakini pia tusiwanyanyapae waathirika kwani mwendo wa kulipiza visasi utaendelea na ndio uliomaliza wengi miaka ya nyuma. Wanaume na wanawake mliooa na kuolewa bakini na wake/waume zenu kwa uaminifu!!!
 
Nidanganye ili iweje mkuu? Nilibaki kuwashangaa wakongwe wale walivyokuwa na hamu sana ya kutimiza azma yao ya kufunga ndoa. Hususani bibi alionekana kupania zaidi,ila furaha yake ikazimika ghafla!
 
Hako kababu hakakuwa na "true love", kalitaka tu kumbwenga mwenzake alafu basi...sasa kwa kuwa kamkuta mpenzi wake kaathirika ndio amemaindi na kutaka kusepa ?

Angekuwa kweli amempenda kutoka rohoni ndio alipaswa kumuonyesha mwenzi wake mapenzi ya kweli...babu amechemka.
Yamkini ni kweli unachokisema,ila inawezekana alipaniki kwa majibu yale kwani hakuna aliyetarajia majibu yale.
 
Watu wakiambiwa wabaki njia kuu wanaleta masihara eti ooh njia kuu ina foleni...

kwa hiyo bibi alichepuka!" hahahaha.......... chezeiya kuchepuka weye.
 
Miaka sabini ukifa una hasara gani?
Swala sio tu kufa,bali kutimiza ndoto,pengine ndoto yao ya kufunga ndoa haitatimia tena kama walivyokuwa wamepanga.
 
Back
Top Bottom