wana jf my sista yu ngonjwa ...dua zenu ...huu ugonjwa wa dengu ni hatari sana...mungu atunusuru aisee...toka asubuh mpka muda huu niko mwananyamala hosp...
Habari, Naitwa Erick ! naomba kama kuna mdada yoyote aliye tayari kuingia katika serious relation ani PM
Maeleza yangu binafsi na Mengineyo tutaelezana Inbox kwa walio serious na kujitambua tu...
Mola ametuumba binadamu wote wazuri,ila kina dada mmejaaaliwa uzuri zaidi na kuruhusiwa kujipamba illi kuongeza uzuri,kwa mujibu wa maandiko ya vitabu vya mwenyezi mungu.
Sasa dada zetu,nywele...
Kuna mjadala miongoni mwa watu mitaani kuhusu mke, utasikia mke ni nani yako? Na majibu wengine husema ni rafiki, wengine husema ni ndugu. Wakati mwingine mke amechukuliwa kama asiye thamani maana...
Habari wana JF
J/pili yangu imekuwa mbaya kwa kweli. Nina mpenzi wangu yapata mwaka sasa ila sikuwahi kumtambulisha kwa ndugu yangu yeyote. Mpenzi wangu ni Chagga girl, hivyo basi nikaona...
1. Ubongo wa mwanamke unaweza kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja; mfano kuzungumza kwenye simu na kufuatilia kipindi kwenye TV. Mwanaume hawezi.
2. Lugha: wanawake wanaweza kujifunza lugha...
Habari wana MMU,
Kwanza napenda kuwapa pongezi members wa hili jukwaa ambao mmekuwa mkitoa mchango wa Mawazo katika mijadala mbali mbali ambayo imekuwa inaletwa mbele yenu! Kwa namna moja au...
Kuna msichana mmoja nimefamiana nae kama siku kumi lakini jana kaniuliza swali moja, Je unanipenda nikamjibu ndiyo kwa kusita then kaniambia naomba univisheshe pete ya uchumba nilishuka sana...
Jaman huyu jamaa ni rafiki yangu wa karibu umri wak ni miaka 26. Alinishangaza aliponambia jana kua analala chumba kimoja na mama yake,nilikosa cha kumwambia kwasababu niliona ni maajabu.
Jamani...
Habari wapendwa...!
Hii ni kwa utafiti wangu tu nilioufanya mwenyewe na hata mimi huwa ni dawa kwangu.
Nazungumzia usafi wa wote wawili hasa mwanamke wakati wa game, inapendeza sana kila...
1. Masaa ya kazi na masomo: kama sipokei simu yako subiri nitakuta missed call yako, kama its a particular issue leave a text pia. Haina haja ya kunipigia multiple times in the same minute...
Kuna sehemu nilikuwepo nilikuwa nawasikia wakina dada na kina mama wengi wanadai wanaume wengi hawaridhishi kitandani mkishapiga bao lenu moja mnalegea vibaya.
Kitu kingine wanacholalamika...
Hivi ikitokea ukajenga mazoea na mwanaume halafu from the day you became friends huyo mwanaume akawa analike to chat with you everyday then kila usiku he wishes u G9t!!. Kwa akili za fastafasta...
ndugu zangu nina mpenzi ninampenda sana tatizo langu na yeye ni mambo yake siku hizi simuelewi kabisa kabadilika kuliko mwanzo naweza kuwa nae chumbani anapigiwa simu na wanaume wengine wanaanza...
Benteke Nikuambie kitu? au basi tu ntakupigia baadae. Nikamwambia sema tu, kwani kuna nini? Mtoto akafunguka kilichoko moyoni, "Benteke naomba uninunulie simu yenye Whatsup eeeh".
Nikamuuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.