Naitamani sana on ma wedding tuimbiane "celine dion-i'm your angel"

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,819
1,181
Natumaini hii nyimbo nitaiperform Live na Ma wife(expected) siku ya wedding yetu. Kwani ni nyimbo ambayo inaweza kuwa ni memorable katika familia yetu na katika maisha yetu. Najua tukiimba hii nyimbo kuna watu watafurahi mpaka majonzi yatawatoka, lakini pia tutakuwa tumeuthibitishia umma kuwa tunapendana zaidi na Mungu awe upande wetu.

Zaidi niwatakie usomaji mwema wa hii nyimbo, ila kumbuka hakuna Malaika duniani tusameheane na tutakiane kila la heri katika msimu huu wa sikukuu, tuombe msamaha kwa wazazi wetu kama tumekoseana nao ili tupate Baraka zaidi.

"I'm Your Angel"-celine dion

No Mountains too high, for you to climb
All you have to do is have some climbing faith, oh yeah
No rivers too wide, for you to make it across
All you have to do is believe it when you pray

And then you will see, the morning will come
And everyday will be bright as the sun
All of your fears cast them on me
I just want you to see...

I'll be your cloud up in the sky
I'll be your shoulder when you cry
I'll hear your voices when you call me
I am your angel
And when all hope is gone, I'm here
No matter how far you are, I'm near
It makes no difference who you are
I am your angel
I'm your angel

I saw the teardrops, and I heard you cry
All you need is time, seek me and you shall find
You have everything and you're still lonely
It doesn't have to be this way, let me show you a better day

And then you will see, the morning will come
And all of your days will be bright as the sun
So all of your fears, just cast them on me
How can I make you see...

I'll be your cloud up in the sky
I'll be your shoulder when you cry
I'll hear your voices when you call me
I am your angel
And when all hope is gone, I'm here
No matter how far you are, I'm near
It makes no difference who you are
I am your angel
I'm your angel

And when it's time to face the storm
I'll be right by your side
Grace will keep up safe and warm
And I know we will survive

And when it seems as if your end is drawing near
Don't you dare give up the fight
Just put your trust beyond the sky...

I'll be your cloud up in the sky
I'll be your shoulder when you cry
I'll hear your voices when you call me
I am your angel
And when all hope is gone, I'm here
No matter how far you are, I'm near
It makes no difference who you are
I am your angel
I'm your angel

I'll be your cloud up in the sky
I'll be your shoulder when you cry
I'll hear your voices when you call me
I am your angel
And when all hope is gone, I'm here
No matter how far you are, I'm near
It makes no difference who you are
I am your angel
I'm your angel

cheichei2010

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
932
349

Sweet dream my friend!.Kuna wakati unafika unasahau kwamba uliimba I'm your Angel,Unamuona Shetani, then mnasawazisha,mnaanza tena.Lakini ni mambo mazuri.
Kila la kheri, katika kufurahia maisha yako.Furahi mapema ili ukifika wakati wa huzuni, unalipia furaha yako ile...Nicenice!
 
Mungu ni mwema, siku zote ni mwema.
 
vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,640
1,277
bwana harusi utaweza kujichetua mbele ya wakwe na umati wa watu!!!
 
imaney

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
1,014
313
Sweet dream my friend!.Kuna wakati unafika unasahau kwamba uliimba I'm your Angel,Unamuona Shetani, then mnasawazisha,mnaanza tena.Lakini ni mambo mazuri.
Kila la kheri, katika kufurahia maisha yako.Furahi mapema ili ukifika wakati wa huzuni, unalipia furaha yako ile...Nicenice!

usimtishe mwenzio bwana....Von can i be your angel???:mwaaah::mwaaah:
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,458
4,717
Nafikiri itakuwa ni harusi ya pekee na suprise ya pekee sana ,tena mnaperform live bila chenga hahahah naomba sana usininyime kadi ya harusi nitachanga nakuhudhuruia kama ni dsm lakini ila uperform live sawa .sitanii
 
Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,785
1,635
maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana, kikubwa ni upendo,uaminifu na uvumilivu. Na uelewe kuwa hakuna ndoa isiyo na ugomvi hivyo ujifunze kusamehe, ALL THE BEST BRAZA
 
Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,819
1,181
Nafikiri itakuwa ni harusi ya pekee na suprise ya pekee sana ,tena mnaperform live bila chenga hahahah naomba sana usininyime kadi ya harusi nitachanga nakuhudhuruia kama ni dsm lakini ila uperform live sawa .sitanii

hahahahahahahaha..............
nivea!!!!!!!!
u make me happy!
siku zote unatakiwa ubuni vitu vipya mtu wangu!
 
Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,819
1,181
maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana, kikubwa ni upendo,uaminifu na uvumilivu. Na uelewe kuwa hakuna ndoa isiyo na ugomvi hivyo ujifunze kusamehe, ALL THE BEST BRAZA

only love can heal every wound!
thank you,
you are blessed!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom