Natoka kimapenzi na shangazi yangu

charliehustler

Senior Member
Nov 13, 2013
109
225
Salaam wanajamvi
Mimi ni kijana degree holder nimetoka kwenye mahafari hivi juzi tu. Nimefika kwa bibi yangu mzaa baba yangu mlezi (step father) nimemkuta shangazi yangu yaani ni binamu wa baba yangu mlezi.
Tunafanana Umri ni mrembo akanionesha dalili za kunipenda na mm nikajisogeza kwake sasa penzi limepamba moto sana japo bibi hajui.
Anataka nimuoe kabisa.
Sasa ndugu zangu ningependa kujua kama nipo sahihi. Au kuna tatizo hapo.
Nawasilisha
 
Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
3,927
2,000

Kama ni mzuru muoe tu umeshamlala shangazi. E.g. sisi wahangaza mila inaruhusu. Mwaka 2012 nilioelewa na mtoto wa binamu ila tumeachana. I am a single mum
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom