Baada ya kugombana na dadake anataka tuishi pamoja

Baada ya kugombana na dadake anataka tuishi pamoja

mwaibile

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2022
Posts
2,116
Reaction score
5,114
Natumaini mko poa kabisa,

Kuna binti nimempenda yupo anaishi na dada yake nilishamshauri tuishi pamoja akawa hataki maana yupo anakaa kwa dada yake

Sasa jana wamegombana na dada yake ndio anataka kuja kwangu kuishi. Vipi nimkubalie au nimpotezee maana nishabembeleza sana huko nyuma tuishi wote hakawa hataki.
 
Natumaini mko poa kabisa kuna bint nimependa yupo anaishi na dada ake nilishamshauli tuishi pamoja akawa hataki maana yupo anakaa kwa dada ake sasa jana wamegombana na dada ake ndo anataka kuja kwangu kuishi vp nimkubalie au nimpotezee maana nishabembeleza sana huko nyuma tuishi wote hakawa hataki
Wakati unamuomba uishinae haukuja kututaka ushauri, sasahivi amepigana taikondo na dada yake amekuomba aje ndo unataka ushauri!!.. sasa nasisi kama kamati ya roho mbaya hatukupi ushauri pambaneni na hali yenu!.
 
Kamuulize huyu jamaa atakupa jibu
IMG_20250127_095508.jpg
 
Mwanzo alikuwa hana sababu ya kuja kukaa kwako now anayo
Hii inamaanisha sababu ya kukaa kwako sio upendo juu yako bali ni ugomvi na dada yake
Kuwa makini siku akimpata wa kumpenda itakuwaje

Cha kufanya mtie mimba chapu chapu
 
Wakati unamuomba uishinae haukuja kututaka ushauri, sasahivi amepigana taikondo na dada yake amekuomba aje ndo unataka ushauri!!.. sasa nasisi kama kamati ya roho mbaya hatukupi ushauri pambaneni na hali yenu!.
Changia neno mkuu neno lako muhimu
 
Haya ni matatizo ya vijana wa miaka 18-25

Mnasukumwa kirahisi na mapenzi.

Anyway fanya hivi:
Usiishi nae kwa maana haujamuoa, hauko tayari na pia sio lazima tofauti na hapo ni nyege zako ndio zitamvuta aje
 
Mwanzo alikuwa hana sababu ya kuja kukaa kwako now anayo
Hii inamaanisha sababu ya kukaa kwako sio upendo juu yako bali ni ugomvi na dada yake
Kuwa makini siku akimpata wa kumpenda itakuwaje

Cha kufanya mtie mimba chapu chapu
Ni kweli mkuu nimeliona hilo ndo maana nimekuwa mgumu kumkubalia naona kama mtego huu kwangu
 
Mzee nipo na 34 usinichukulie poa mzee nitake radhi
Sisi mtu una miaka 34

Unaulixa maswali utafikiri dogo mla chips

Hadi hapo ulipofika tayari una experiences za mapenzi ila bado unayumbishwa na scenario ndogo kama hii.

Nimekuambia hivi BINTI HAUJAMUOA UNATAKA KUISHI NAE WA NINI, tofauti na hapo sikiliza nyege zako sasa ili na wewe akuzingue kama shangazi yake
 
Natumaini mko poa kabisa kuna bint nimependa yupo anaishi na dada ake nilishamshauli tuishi pamoja akawa hataki maana yupo anakaa kwa dada ake sasa jana wamegombana na dada ake ndo anataka kuja kwangu kuishi vp nimkubalie au nimpotezee maana nishabembeleza sana huko nyuma tuishi wote hakawa hataki
Muishi kivipi...Dogo nenda katoe mahari na ufuate taratibu za kuishi na mwanamke....usiwe kama Mbwa kuokotana tu barabarani.
 
Back
Top Bottom