Kwanza leo ni weekend ndo imeanza na huu ni ujumbe mfupi.
Wana MMU wote katika ujumbe wangu mfupi ambao tunatakiwa tuutafakari kwa kina hasa kati ya mapenzi ya kweli na pesa, mimi naamin...
Wengi wetu tumejikuta kwenye mahusiano yaliyotuletea machungu na hata wengine kufikia kujuta sana na kukosa hamu ya maisha au hamu ya kuwa na mahusiano tena hapa duniani. Wenzi wetu wanakuwa na...
Habari wakuu,nimeona nishare nanyi yaliyonikuta mwenzenu, Nilikuwa na mchumba wangu niliyempenda sana ila yeya alinitamani kwa mujibu wake,nikiwa kama binti ninaejua umuhimu wa kusaidia...
Habari wana bodi.
Natumai hamjambo?
Naomba munisaidie mi nimeowa toka mwaka 2007 mke wangu alikua mwembamba ( kibasmati ) yaaani sio siri nampenda hadi kesho tatizo ni kua baada ya kujifungua...
Napenda kuwataarifu kwamba, Sitakuwepo katika JF Mpaka pale World Cup itakapoisha... maana naona ushirikiano umekuwa hafifu, watu hawachangii tena threads zingine... kila mmoja yupo busy...
Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki...
Habari za saa hizi wapendwa,
Leo nikiwa safarini wazo limenijia kuhusu mahusiano yalovunjika kuhusiana na mipaka inayo kukiukwa kwenye uhusiano/mahusiano.Je kuna mambo gani ambayo wenzi...
Kipindi cha michepuko kimewadia! Utafiti unaonyesha kwamba kila michuano mikubwa ya mpira inapoanza kama vile Kombe la Dunia, UEFA Champions League na Kombe la Mataifa ya Afrika, wanaume wengi...
Habari zenu wana jf,
Najuta ni kiherehere cha moyo wangu kukupenda,kukuthamini na jukujali.
Wana jf naombeni msaada,ni mpenzi wangu yapata 1&half year katika mahusiano ni binti ambaye...
Hivi karibuni kwa aliyepima, kituo chochote, aliambiwa kupima ni mara moja kwa mwaka sahizi?si tena ile kila baada ya miezi mitatu @?
Haya turudi penyewe leo,Habari mabibi na mabwana na wadogo...
Nimekuwa nikijiuliza hili,mwanzo nilidhani mme au mke ataitwa jina la mmoja wa watoto,kumbe sio kutokana na semina niliyoshriki,wakasema ni mbaya ila aitwe jina lake halisi ili kuweka usawa kwa...
Turning 30 is a major milestone. For many it means that you're no longer in the hard-partying, bad decision-making stage of your life, for better or for worse.
Before you turn the big 3-0 (or...
Zamani hizoo enzi za kina Musa na Farao agano kati ya MunguU na Mwanadamu liliwekwa kwa kuchinja mnyama(blood shed) hasa kondoo,kuna kitu ambacho kipo lakini huwa mara nyingi hatujiulizi...
habar za usiku huu wakuu wa MMU. mm ni kijana ninaeishi maeneo ya kinondoni. sababu za kuanzisha huu uzi ni kuomba ushaur juu ya tabia ya msichana anayekaa nyumba jirani na yetu.
huyu mdada...
Leo Naomba nitoe angalizo kwa wanawake especial wale wanao pendaga kusema Wanabakwa---
Kutokana na maumbile itaonekana ni kweli huwa mwanamke anabakwa---
ila kiuhalisia -- mwanamke ndio Mbakaji...
Habari wana JF.
Mme ndani ya miaka 11 ya ndoa, baraka ya mtoto mmoja wa kike miaka 10. Mwanaume huyu ni mbangaizaji hana ajira maalum na mama ni mfanyakazi Serikalini.
Kuwajibika kama Baba kwake...
Habari zenu wakuu,
Binafsi tumezaliwa watatu wote tukiwa ni watoto wakiume lakini hii sio sababu ya mimi kusema maneno haya kutokana hata ningekuwa na dada nisingekuwa mjinga wa tabia hii...