jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Nimetoka home asubuhi nikafanya uamuzi mgumu wakwenda kupima vvu.
Wakuu asikwambie mtu kupima inahitaji roho ngumu,kadri nilivyokua napasogelea angaza nikahisi miguu inaishiwa nguvu,mara najisikia kubanwa haja aiseee kweli nouma.
Wakati nasubiri kuingia chumba cha nasaha na kupima nilifikiria mengi sana nahisi nilipungua kama kilo 5.
Sinikaitwa jembe afrika,nikaitikia kwa unyonge kweli huku ushuzi unataka kunitoka,miguu inatoa jasho na kutetemeka,
Daaa jamani acheni nikaingia nikaketi nikapewa nasaha zote lakini kwani akili ilikua imehama hata simuelewi,
Nawaza yaani akiniambia tu ninao najua nitaanza kuharisha hapohapo na kunipeleka wodini,
Mara nawaza naicha hivihivi jf na watoto weusi aisee,akaniuliza tena uko tayari kwa maji yoyote?
Hapo nikahisi mavi yanagonga pichu na kurudi,nikamwambia ndio, akaniambia niko negative,weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nikahisi nimerudi duniani nilishangilia sana,
Daa namshukuru Mungu sana.nikaona niwashilikishe nanyi bhandugu,sas niko huru jembe afrika.