Mwenye dada hakosi shemeji

mutant gene

JF-Expert Member
May 18, 2014
876
322
Habari zenu wakuu,

Binafsi tumezaliwa watatu wote tukiwa ni watoto wakiume lakini hii sio sababu ya mimi kusema maneno haya kutokana hata ningekuwa na dada nisingekuwa mjinga wa tabia hii ninayotaka kuielezea.

Kuna majamaa wengine ni mambwiga ati akiona kuwa unamtokea dada yake, unakuta jamaa ananuna nuna kama mtoto wa kike...sasa unanuna, unamuonea wivu dada ako?! unataka tukutongoze wewe? au unataka kumpiga dada ako mwenyewe mishale? au hutaki dada ako apate raha?!

Hizo ni tabia na wivu wa kipuuzi hebu waacheni dada zenu tuwape raha...kumbukeni kuwa aliye na dada hakosi shemeji wakuu...sasa sijui unanuna nini mtoto wa kiume!
 
Hataki dadaake achezewe na viserengeti boy…..hata kaka zangu mm wakuone unanifatilia lazima wakutazame kwanza na wewe ni mtu makini au ndo vipi kwahio lazima waweke ngumu ili kukuona kama unataka yaliyo na kheri na dada mtu ama lah….utapigwa jicho la shika adabu yako mpaka utajishtukizia…..na ukisalimika kupigwa mikwara au kukatwa ngwara shukuru…ha ha ha
 
Shemeji hakataliwi akija kihalali,tatizo ni hawa wanaonyata na kurusha mawe juu ya bati,wazee wana pressure nowadays!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom