bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Habari wana JF.
Mme ndani ya miaka 11 ya ndoa, baraka ya mtoto mmoja wa kike miaka 10. Mwanaume huyu ni mbangaizaji hana ajira maalum na mama ni mfanyakazi Serikalini.
Kuwajibika kama Baba kwake ni kitendawili, akiletwa msicha wa kazi mme gubu kuliko mtu na mke mwenzie, Hajuhi mshahara wa msichana wala matumizi yake ya lazima kama vile ugonjwa nk. maana kilanja ni yeye kwa kila kitu ili mradi ajulikane kuwa yeye ndiye baba mwenye nyumba. Msichana akiondoka hana msaada wowote wa majukumu ya nyumbani kwa kuzingatia kuwa mara nyingi yeye ndiye anasababisha waondoke.
Naombeni mawazo yenu katika hili maana kama ni vikao vya ushuluhishi vimefanyika vya kila aina na mme huyu habadiliki.