Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,789
- 3,279
habar za usiku huu wakuu wa MMU. mm ni kijana ninaeishi maeneo ya kinondoni. sababu za kuanzisha huu uzi ni kuomba ushaur juu ya tabia ya msichana anayekaa nyumba jirani na yetu.
huyu mdada nilimtongoza wk mbili zilizopita, jibu lake likawa kuwa anamtu wake wanaependana. nilijaribu kumsihi zaidi lakin jibu lake likawa ni hilohilo.
ijumaa iliyopta sasa nilimkaribisha chumbani kwangu na akakubali kuja, wakat tunapga story tukajikuta tumeishia kitandani tukila lile tunda la mti wa katikati. baada ya kumaliza alinilaumu mm kuwa eti nmemsababishia amsaliti mpenzi wake.
cha ajabu juzi jioni kaja tena room (kwa kumkaribisha) nilipomuomba tena lile tunda akakubali na nikalimega tena. sio siri mi nikajua kuwa habari za huyo mtu wake ni just kunipima tu ila kila ninapomkumbushia ili anikubali ili nijue kuwa officially mimi ni wake yeye anaendelea na kushikilia msimamo wake kuhusu huyo jamaa yake, na kila ninavyomwangalia kama nikiomba tunda kuna possibility kubwa kuwa atanipa tena. so huyu demu ni kweli anamtu au ndo mchaluko mwengine nimeuvagaa ? wakuu naombeni ishauri nisitishe mawasiliano au niendelee kumega kisela tu maana mtoto ni mtamu vibaya mno.