Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna hii ishu nimeiona utakuta wadada wengi wanasema "yani yule mkaka ananijali karibia kila weekend ananipa laki 1 ya saluni" ...halaf kuna wadada wengine hudai kuwa ukiwapa pesa ndio maana yake...
5 Reactions
120 Replies
12K Views
Habari za muda huu wanaJF? napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane. Nimemiss michango...
3 Reactions
91 Replies
6K Views
Nimekutana na mada hii kwenye gazeti la Habari Leo kwamba kuolewa siku hizi ni bahati, hivyo msichana/mwanamke jambo la msingi ni kujiwezesha kwanza kiuchumi ndicho anachohitaji kwa maisha. Hoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau habarini za asubuhi, Jamani nsije nkazidi haribu maana uwezo wangu wa kufikiri umeishia hapa, nitafurahi nikipata experience, Hua mnafanyaje na wenziwenu inapotokea interst zenu au...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
1.PAPARA wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba...
0 Reactions
73 Replies
16K Views
Wana MM kuna binti mmoja wa kikurya nampenda sana kutoka moyoni na ni mpenzi wangu kwa mwaka mmoja na nusu sasa na baadhi ya ndugu zangu na marafiki wanamfahamu. Tatizo ni kwamba huwa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habar wana Jf naombeni munipe technique za kumtongoza demu mrembo saana,Asanteni sana
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zeni wana mmu,mi leo nimeonelea niwaulize wanaume maswali haya; Kwa nini wanapenda kudhalilisha wenzi wao mbele ya watoto? Mwingine utakuta anatukana mkewe jamani matusi ya aibu mbele ya...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna huu utamaduni wa kudharau wadada wa kazi, hadi wametungiwa majina eti beki 3, huwa nashangaa maana kazi wanazofanya hata dada zetu na mama zetu wanazifanya. Ni hivi sasa, kuna kabinti...
1 Reactions
75 Replies
9K Views
ewe mdada/mkaka hakikisha umetongozwa kwanza kabla ya kuanza mahusiano yakimapenzi na mtu yeyote. ile stail yakuzoeana tu na mkajikuta mnafanya mambo wanayotakiwa kufanya wapenzi itakutokea...
6 Reactions
87 Replies
10K Views
Hi... Natafuta rafiki wa kike - mke mtarajiwa, sifa - Mkristo (Mchamungu, mpendwa vyema zaidi) - Awe anaishi DSM - Atleast undergraduate - Amejiajiri au ameajiriwa - Umri 20-29 Sifa zangu -...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kuna mwanaume ana umri wa miaka 50, kapata msichana wa miaka 25. Huyo mwanamume kampenda binti na anataka kumuoa, binti naye kampenda huyo baba. Mwanaume hajawahi kuoa...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Mambo vipi wana JF, nahitaji ushauri wenu kwenye hili. Ni mwaka sasa umepita toka nianze mahusiano na huyu msichana. Wakati tunaanza mahusiano alikua akiishi hostel za chuo chao but after...
2 Reactions
135 Replies
13K Views
Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend...
0 Reactions
84 Replies
43K Views
Haka katoto kananipagawisha hakyanani naingia kwa paulo.
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Kwa nini mtu anaomba msamaha? jibu ni jepesi kuwa anapokuwa amekosea, lakini neno kukosea ni jambo linalofanyika kwa bahati mbaya na mtu akidhamilia huyo hawezi kuwa amekosea. Mvulana ama...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu hivi kuna umuhimu wowote kuwa na picha ya mpenzi wako? Huwa ukiwa na picha ya mpenzi wako unafeel nini? Je wewe unapicha ya mpenz wako? Na inafaida gani endapo ukiwa nayo? :%:%:p*****
0 Reactions
88 Replies
13K Views
Habari za jumatatu wakuu wa nchi hii ya Jamii Forum, leo nataka niseme neno kidogo najuwa litalipuwa vichwa wengi, na kuwachoma lakini tuelezane tu kwa faidia yetu sote, haswa waamini wa mungu...
8 Reactions
50 Replies
7K Views
  • Closed
Habari zenu wadada wote na makaka, mababu na mabibi! Tunajua hakuna binti asiyetongozwa, awe mzuri au mbaya, awe mapepe au ametulia, awe anajiheshimu au hajiheshimu. Sasa wadada jamani...
5 Reactions
772 Replies
56K Views
Wana JF, Katika tukio lisilo la kawaida juzi nikiwa katika mgahawa mmoja pale sinza kwa remi, pale wanapopika vyakula vizuri Hot Food Hotel, niliishiwa kifurushi, nikatoka nje kununua nikiwa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…