Natafuta rafiki wa kike mwenye asili ya kiarabu

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
Ningependa kupata rafiki wa kike mwenye asili ya kiarabu umri asiwe amezidi miaka 21......anaweza akanifuata kwny PM kwa mawasiliano zaidi
 
Usichokijua Ni kwamba hakuna Mwarabu Dunia anayeweza kuwa Ndoto ya kuwa na Rafiki Mwafrika, kwanza kwao wao kuwa na Rafiki Mwafrika ni Aibu na atatafuta pa kujificha... kwa maana huko Uarabuni sisi (Waafrika ) tunaitwa Abdi maana yake Mtumwa...
 
Ni wapi el nino aliposema kuwa yeye ni mwafrika ? Labda na yeye ni mwarabu pia ..hata avatar yake inaonyesha yeye si mTz mweusi..
 
hana lolote tu huyo...bado ana seli za utumwa....anawataka waarabu...mwaka 1961 sio mbali sana...sitashangaa kuona kuna watu wana elements za utumwa
 
Usichokijua Ni kwamba hakuna Mwarabu Dunia anayeweza kuwa Ndoto ya kuwa na Rafiki Mwafrika, kwanza kwao wao kuwa na Rafiki Mwafrika ni Aibu na atatafuta pa kujificha... kwa maana huko Uarabuni sisi (Waafrika ) tunaitwa Abdi maana yake Mtumwa...
Acha uongo !! Tafadhali acha kuongopea wapo kibao...!!
Mbona Rais mstaafu ana mwarabu
JK ana Mwarabu
Karume ana mwarabu,

Mie mwenyewe nimeoa wa Oman ngangari !!
na wapo wengi wafrika walotulia wameoa uarabuni.
usipotezeee
 
Bado haujanielewa, nilichomaanisha ni kwamba kwa sisi Waafrika kuoa Mwarabu au Mzungu, Muhindi n.k ni SIFA kubwa kwetu na ni jambo la kujivunia lkn kinyume chake ni laana, yaani kwa Mwarabu,Mzungu, ama Muhindi kuoa ama kuolewa na sisi Waafrika SIYO jambo la kujivunia, kama bado haunielewi kwa mfano hauwezi kukuta Mwanaume wa Kiarabu, kichina ama kihindi akiandika kama alivyoandika huu Bw. kama anatafuta Mwanamke wa Kiafrika, na ndio maana hao uliowaorodhesha ya kwamba wameoa Waarabu inadhihirisha usemi wangu ukiangalia wote ni watu Matajiri na malengo yao yalikuwa kuoa Mwarabu ili Ubinadamu wao Ukamilike lkn huwezi kukuta Mwarabu Tajiri ana NDOTO ya kuoa Mwafrika kwa kuwa kwao sisi ni Daraja la chini na tunitwa ABDI maana yake Mtumwa ndicho nilichomaanisha!

Na watu wa aina hii kama wewe wanaojisifia kuoa Watu wa Rangi nyingine ktk Hii Dunia wapo Afrika tu, lkn Binadamu wengine wote wanajithamini wao kwanza na ndio maana hawauzi rasilimali zao kwa Wageni kama SISI, kwetu sisi Mtu Mweupe kwanza halafu sIsi ndio tunafwatia!
 
Una lugha ya kibaguzi na mawazo mgando. Nafikiri elimu dunia inakupa taabu. Acha hiyo imani potofu. Ningekupa mifano ya waafrika weusi tii km yule mnigeria wa cement huko mtwara na maskini weupe wa kutupwa ktk mitaa ya nanjing china, au pembezoni mwa jiji la oman lkn naona nitapoteza muda kwa mtu wa mawazo ya aina yako.
 
Bado Haunielewi!

​
Hakuna Mwarabu au Mchina Dunia hii mwenye ndoto ya Kuoa au Kuelewa na Mwafrika ila Kinyume chake yaani Mwafrika(sisi) ndoto yake kubwa ni kuoa Mwarabu au Muhindi ama Mchina ni rahisi kihivyo tu na ndio UKWELI wenyewe sasa kama unakataa, kataa tu lkn Huwezi kubadilisha huo ukweli!

Huwezi kwenda Saudi Arabia ama Omani au Hata sijui Pyong Yang ukakuta Mwanaume wa Huko akiwaza, kuota na kuomba Mungu SIKU moja amjalie Mwanamke Wa Kiafrika, Ni Afrika TU ndio tuko hivyo tutawaza, Kuota na Kuomba Mungu Siku moja atujalie Mwanamke Mweupe ili Ubinadamu wetu ukamilike!

Bado Haunielewi!

​
Hakuna Mwarabu au Mchina Dunia hii mwenye ndoto ya Kuoa au Kuelewa na Mwafrika.......

Kuna saikolojia fulani iliyopelekea ww kufikia jibu hilo. Huenda hujakaa ktk nchi hizo au umekwenda au kukaa na hawa watu ktk mfumo fulani unaolingana na utumwa. Kwenda eneo lolote ktk dunia hii ukiwa na hela utaoa yeyote. Wasichana wasomi pia wakiwa nchi hizo wanaolewa na yeyote. Ni vivyo hivyo muafrika anataka kumwoa mwarabu kwa sababu ya mali, elimu au kivutio chochote. Sidhani km yupo mtu anataka kuoa mwarabu hohehahe wa matombo. Urahisi wa maisha pia ni moja ya sababu.
 
Hata Wewe Pia Haujanielewa!
​

Ninachosema Ni kwamba Hakuna Mwarabu Tajiri mwenye kuwa na NDOTO ya kuoa au kuolewa na Mwafrika, lkn Waafrika Matajiri wana ndoto za kuoa Mwarabu, kwa maana kwetu sisi Ni SIFA kuwa Mke Mwarabu wakati kwa Waarabu Ni Laana kwao na wala sio jambo la kujisifia na ikitokea amefanya hivyo basi inabidi atafute sababu za kujieleza kwa jamii yake!

Unaongelea Mwarabu wa Matombo ninaweza kukuhaklishia kwa Mwafrika ukimpa Uhuru wa kuchagua kati ya Mwarabu masikini wa Matombo na Msichana wa Kitanzania tajiri wa Mbezi Beach wengi watachagua Mwarabu lkn ukimuuliza Mwarabu wa Matombo achague kati ya kuoa Mwarabu masikini wa Matombo au kuoa Mwafrika wa Mbezi beach bado atachagua Mwarabu mwenzake!
 
Bado haujanielewa, nilichomaanisha ni kwamba kwa sisi Waafrika kuoa Mwarabu au Mzungu, Muhindi n.k ni SIFA kubwa kwetu na ni jambo la kujivunia lkn kinyume chake ni laana, yaani kwa Mwarabu,Mzungu, ama Muhindi kuoa ama kuolewa na sisi Waafrika SIYO jambo la kujivunia, kama bado haunielewi kwa mfano hauwezi kukuta Mwanaume wa Kiarabu, kichina ama kihindi akiandika kama alivyoandika huu Bw. kama anatafuta Mwanamke wa Kiafrika, na ndio maana hao uliowaorodhesha ya kwamba wameoa Waarabu inadhihirisha usemi wangu ukiangalia wote ni watu Matajiri na malengo yao yalikuwa kuoa Mwarabu ili Ubinadamu wao Ukamilike lkn huwezi kukuta Mwarabu Tajiri ana NDOTO ya kuoa Mwafrika kwa kuwa kwao sisi ni Daraja la chini na tunitwa ABDI maana yake Mtumwa ndicho nilichomaanisha!

Na watu wa aina hii kama wewe wanaojisifia kuoa Watu wa Rangi nyingine ktk Hii Dunia wapo Afrika tu, lkn Binadamu wengine wote wanajithamini wao kwanza na ndio maana hawauzi rasilimali zao kwa Wageni kama SISI, kwetu sisi Mtu Mweupe kwanza halafu sIsi ndio tunafwatia!

BaseLess...
na pointless ! huna ila unajibagua mwenyewe tu... Wao wameoa na na sisi tumeoa kwao ! na bado tutaoana !! kuhusu neno ABIDI ni mfano wa jina Abdallah (Abd Allah au AbdulRahaman na ma Abdu wapo wengi) ni Mtumwa wa Mungu !! au mtumishi wa muungu muumba !! ni sifa fulani.. lakini uiletayo wewe ni meaningless upotoshi na uongoo!
SIJUI ULISOMESHWA WAPI ?
 
Unachanganya mambo hapa, sisi (waafrika) tukioa Mwarabu ni kama ndoto imetimia yaani wengi wetu tunaishi na kuomba Mungu siku moja tupate Mwanamke Mwarabu, kwa Waarabu ikitokea amaeoa Mwafrika ni kwamba ilitokea lkn hakupanga yaani ktk Maisha yake hakuwa na ndoto ya kuja kuoa Mwafrika ni hivyo tu, kama unapinga pinga tu lkn Ndio UKWELI wenyewe!

Ukienda Uarabuni Waafrika tunaitwa ABDI yaani Mtumwa kama vile ukienda ulaya au Marekani tunaitwa Niga yaani sokwe au nyani... sasa kama unataka kupinga na kutaka kulihalalisha hilo neno na iwe hivyo, lkn ndio UKWELI!

Kwa hiyo unataka kusema kwamba Kuna Waarabu huko Saudia au Omani wenye ndoto ya kuoa Mwafrika? yaani kwamba anakaa anawaza na kuwazua ili siku moja aje kupata Mwanamke wa kiafrika?
 
Mkuu wapo wengi sana, Tena nasema sana wapo wanawaza nikupe mfano tu walipo kuja waarabu katika bara la Afrika :-
West Afrika (Afr-magharibi) waaarabu walzaa na kuoa wabantu wa huko !!
East Afrika (Afr-Mashariki) waarabu waioa na kuzaana na WaBantu hadi hii leo ona Mfano; Zanzibar,Pemba, Mombasa, Tanga,Lamu na bado wapo wengi wanaamini kuwa hilo ni baraka !
 
Waarabu nenda oman kabisa kawe houseboy utawapata ila ukigundulika kibao kinakugeukoa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom