Mjane atimuliwa ndani ya nyumba

Mjane atimuliwa ndani ya nyumba

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
11,602
Reaction score
20,101
Nimeiona habari hii leo katika kituo kimoja cha televisheni. Ni kwamba mjane (yaani mwanamke aliyefiwa na mumewe) siju nne zilizopita, anafukuzwa ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe. Ndugu wa marehemu yaani mume wa mjane huyo ndio wanaoshinikiza mjane huyo atoke na kuwaachia nyumba.

Kiukweli nyumba ni nzuri sana tu, na ninahisi wamezuzuka na ghorofa lile. Na majirani wa mjane huyo wanasema hiyo nyumba zamani ilikuwa club, sasa mjane na mumewe enzi za uhai wake wakainunua hiyo nyumba na kuikarabati.

Hivi hii ni haki kweli jamani? Mtu kasota na mume wake mwisho wa siku kisa kaka yao amefariki ndo wamfanyie hivyo mjane huyo!!! Loh! Binadamu sisi.
Hebu tujadili hili wana MMU
 
inaonekana hao ndugu hawaijui sheria

Hata apart from sheria.. kibinaadamu tu, kwan kuzaa si majaliwa ya Mungu. Labda altake ampe mwakan!! Huu ni unyanyasaji kabisa yaani
 
Sana yaan..uonevu haswa yaan.m sjapenda hii

pole sana, najua hili litakuwa limekuumiza sana.

binadamu ndiyo tulivyo. Kuoneana kumezidi.
ila ujue hakuna atakaeishi kwenye hiyo nyumba na kubaki salama. no one!!
 
Kwa nini asifuate sheria ,ukizingatia nyumba imepatikana ndani ya ndoa!
 
pole sana, najua hili litakuwa limekuumiza sana.

binadamu ndiyo tulivyo. Kuoneana kumezidi.
ila ujue hakuna atakaeishi kwenye hiyo nyumba na kubaki salama. no one!!

That z my fear, ukizingatia ni siku nne tu toka afiwe na mume wake..hata maumvu ya kuondokewa hayajaisha...lnakuja hl...
 
Kwa nini asifuate sheria,ukizingatia nyumba imepatikana ndani ya ndoa!

Duh, ndo nmeona kwa taarfa ya habari. Yaani kasaidiwa na majirani vile zogo watu kujaa ndio mashemej wakaona aibu na kuamua kuondoka...n sheeda
 
Nimeiona habari hii leo katika kituo kimoja cha televisheni. Ni kwamba mjane (yaani mwanamke aliyefiwa na mumewe) siju nne zilizopita, anafukuzwa ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe. Ndugu wa marehemu yaani mume wa mjane huyo ndio wanaoshinikiza mjane huyo atoke na kuwaachia nyumba.
Kiukweli nyumba ni nzuri sana tu, na ninahisi wamezuzuka na ghorofa lile. Na majirani wa mjane huyo wanasema hiyo nyumba zamani ilikuwa club, sasa mjane na mumewe enzi za uhai wake wakainunua hiyo nyumba na kuikarabati.
Hivi hii ni haki kweli jamani? Mtu kasota na mume wake mwisho wa siku kisa kaka yao amefariki ndo wamfanyie hivyo mjane huyo!!! Loh! Binadamu sisi.
Hebu tujadili hili wana MMU

Hiyo ndio shida ya kuolewa na masikini wa mali na fikra.....hao ndugu wangekuwa na migorofa na mali zao wala wasingehangaika na huyo mjane.....hapa ndio mtakumbuka hoja za lara 1
 
Last edited by a moderator:
Sheria za Tz ni za hovyo sana...huwezi zijua mpaka uende mahakamani...

Kuzaa inaweza ikawa serious issue depending wamefunga ndoa ya aina gani...ndoa za kimila kwa mila nyingi ni za hovyo kabisa...bora mmalizane kimjini mjini...
 
Sheria ni mbovu...inatakiwa iwe ni crime kumfukuza mtu nyumbani kwake...
 
bwana 'nyumba kubwa ' acha kudharau sheria, zipo vizuri tu, huyo mjane mnayemuita mke, ameolewa ama alikuwa anakaa na rafiki yake wa kiume?

Hivi msilete pumba hapa eti kimada halafu agawiwe ama aridhi mali za mume wake!
Je, ni dini gani, maana kwa sisi waislamu sheria ipo wazi?

Kama kaolewa na cheti kipk basi haki yake ipo ila kama ni kimada atangulie mufindi kuchuma chai.
 
Sheria ni mbovu...inatakiwa iwe ni crime kumfukuza mtu nyumbani kwake...

Tena inatakiwa iwe iwe first degree felony - the most serious felony charge.

How the hell can you put someone out of his/her house?

Huenda hata wosia wa maandishi hakuna....otherwise hizo guts wanazitoa wapi (kama kilicholetwa hapa ndicho ukweli wote)?
 
Tena inatakiwa iwe iwe first degree felony - the most serious felony charge.

How the hell can you put someone out of his/her house?

Until ifike hapo.. Yaani hadi watoto wanatolewa.. na hao watetezi wa Wanawake hawana hata clue ya ku push for new laws..
 
Back
Top Bottom