Kuna mwanamke fulani nilimkuta baa fulani analewa nikaona acha nijisogeze, kweli nikafanikiwa kukaa naye hakuniringi.
Alikuwa analewa huku analia nikamuuliza Mbona unalia akagoma kuniambia ila...
Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?
Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.
Unakuta dada mzuri wa umbo na...
Mwaka juzi nlipata changamoto kidogo kwenye usafiri.gari moja nliuza nyingine ikawa imepata tatizo ikabidi kuagiza spare nje so ikawa garage tu inasubiri spare.
Basi nikawa napanda daladala...
Wazee hasa wa mjini daslamu hebu mnisaidie....huyu mwanamke nimemuona yuko hapo ubungo plaza ground floor kwenye bank moja inaitwa sijui akiba au DCB(kama nimekosea mtanirekebisha)...
Huyu...
Habari za majukumu ndugu zangu? Straight to the mada.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Mzaliwa wa Manyara Mwiraqw.
Niliolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani mwaka 2020 lakini bahati mbaya mume...
Habari gani mwanajamvivletu pendwa la MMU. Kimsingi MMU ndio Jamvi linalopata engagement ya kitosha ukilinganisha na majukwaa mengine. Hebu twende kwenye maada,
Namzungumzia mshikaji wangu...
Wakuu, juzi kati tulitoka kiofisi kwenda Mkoa mmoja hivi, kufanya project moja iliyodhaminiwa na Watu wa nje.
Ofisini tulitoka watu kama Watatu, na hiyo kazi ilikuwa inahitaji watu wengi kidogo...
Mara ya kwanza niliposikia Mzee Gurumo wa Msondo Ngoma anadai ameimba zaidi ya miaka 50 na maisha yake bado ya 'kimaskini mno' niliona kuna kitu hakiko sawa... sikuwa na ushahidi tu lakini...
Habari za wakati huu ndugu zangu na wanajamvi la Hoja mchanganyiko? Nitaomba radhi kwa yule nitamkwaza ila acha niliweke hili swala hapa jukwaani tulijadili.
Mimi nimebahatika kulelewa na wazazi...
Husika na kichwa cha habari hapo juu , hivi unafanyaje kumuacha mwanamke ambaye amekuganda anatoa hadi kauli anaweza kujinyonga kwaajili yangu , ukizingatia mimi nina moyo wa huruma siwezi...
Yaani mwezi uliopita nimepigwa na Mshangao mkubwa Sana. Iko hivi kipindi nasoma chuo flani hapa Dar, nilikuwa na Jamaa yangu (Tuseme anaitwa JAMES), lakini pia darasani kulikuwa na demu mmoja hivi...
Wadau naombeni ushauri kwa hili jambo mana mara nyingi mimi nimeonekana kuwa ni mwanaume bahiri kuwahi kutokea, kila nikipata mpenzi ananikimbia eti kisa simhudumii lakini kwa upande wangu...
Habari ndugu zangu.
Hapa naenda moja kwa moja kwenye mada husika.
Nihusishe na kichwa cha habari hapo juu.
Katika mambo ya vijana kuoa, wengi wetu huwa hatujawa stable kwenye suala la...
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi...
nlikutana na huyu dada mzuri wa kisasa.. tukawa marafiki tunawasiliana na kusaidiana kwa shida ndogo ndogo sababu nlimwona ni dada mwelewa flan hivi na mwenye kupenda maendeleo. basi siku moja...
Ndg wadau mim ni kijana mwenye umri Wa miaka 27 na ktk umri huu nimedate na msichana mmoja tu ambaye niliyenaye mpk sasa ila huyu demu wangu kafaulu kwenda chuo kikuu na huko Nina wasiwas...
Wachache wanafurahia kua single, ila wengi hawafurahii.
Kuna changamoto gani unaipata ya kuwa single, na kwanini upo single hadi muda huu? Tujulishane hapa.
Kama wewe unahitaji kutatuliwa...
Jana nilitembelewa na dada yangu, kwa kuwa ni mpenzi wa vinywaji ikabidi tutoke nyumbani twende sehemu yenye hiyo huduma, tukafika kwenye mgahawa moja tulivu uliopo maeneo ya Tabata.
Kufika pale...
Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa...