Je, kuna ulazima wa kumhudumia mchumba wa kike ?

Kampungapunga

JF-Expert Member
Sep 27, 2018
313
1,100
Wadau naombeni ushauri kwa hili jambo mana mara nyingi mimi nimeonekana kuwa ni mwanaume bahiri kuwahi kutokea, kila nikipata mpenzi ananikimbia eti kisa simhudumii lakini kwa upande wangu nilishajiwekea malengo kwamba nitatoa huduma wakati nishakua mme wake kamili.

Hii nafanya kwa kuzingatia kwamba mwanamke yeyote ambaye hajaolewa na anakaa kwao hua ni wajibu wa wazazi wake kumhudumia kila kitu.
Mana kwa kawaida kama wewe mzazi utaona mwanao wa kike anaanza kumiliki vitu vya gharama kama simu, nguo za bei, saa, nk niwajibu wako kumwuliza mwanao kapata wapi na ukizingatia hana kazi.

Hivyo warembo mjalibu kijitafakali si kila mwanaume asiye kuhudumia hakupendi ila wakati mwingine tunafanya hivo ili tujue kwenu kuna malezi gani, na pia ili tujue tunapendwa kweli au mnapenda vile tunavyo wapa.

Uzi tayari, wakununa anune ila mi ndo nilivyo.
 
Tupo pamoja!
Vinginevyo unaweza kuua!
 
hahaaa mzee kulikoni

halaf et tunatishiana
'utasaidiwa na wenzakoo'
aloo kati ya vitu ambavyo sijali wala kuwaza ni hiloo.....
......alisaidiwa msalaba sembese mimi?
Ukiwaza kubatizwa mbahili, huna pesa, huna upendo au jina lolote....
Either ufe maskin au ufe kwa presha, ukijitahd ndio yale ya TAKUKURU.....
 
Wadau naombeni ushauri kwa hili jambo mana mara nyingi mimi nimeonekana kuwa ni mwanaume bahiri kuwahi kutokea, kila nikipata mpenzi ananikimbia eti kisa simhudumii lakini kwa upande wangu nilishajiwekea malengo kwamba nitatoa huduma wakati nishakua mme wake kamili.

Hii nafanya kwa kuzingatia kwamba mwanamke yeyote ambaye hajaolewa na anakaa kwao hua ni wajibu wa wazazi wake kumhudumia kila kitu.
Mana kwa kawaida kama wewe mzazi utaona mwanao wa kike anaanza kumiliki vitu vya gharama kama simu, nguo za bei, saa, nk niwajibu wako kumwuliza mwanao kapata wapi na ukizingatia hana kazi.

Hivyo warembo mjalibu kijitafakali si kila mwanaume asiye kuhudumia hakupendi ila wakati mwingine tunafanya hivo ili tujue kwenu kuna malezi gani, na pia ili tujue tunapendwa kweli au mnapenda vile tunavyo wapa.

Uzi tayari, wakununa anune ila mi ndo nilivyo.
Mwanamke ambaye ww unasiltahili kumhudumia kwa nguvu na jitihada zote ni mama yako na wanao..
Hao wengne ni kwa huruma tu, hvyo unaweza kumsaidia isizidi shilingi elfu50 ukizidisha hapo ni kiherehere chako tu
 
Hauko sahihi sana mkuu..ngoja nikusaidie..hata ukioa we usimhudumie mkeo..kwani kabls ya hapo nani alikua anamhudumia?? Ww tafuta hela hudumia wanao!

NIWACHACHE WENYEUELEWA HUOO
mzima wa afya...
Mzima wa akili....
Mzima wa viungo...
Mzima wa uhai....
Mzima wa miaka....
Bd unalia lia kusaidiwa??

Vipi watoto...?
Vipi wagonjwa...?
Vipi vilemaa....?
Vipi yatima....?
Vipi wazeee....?
Vipi wenye mitindio ya akili...?
Vipi wafungwa....?

Ni dhambi hata kwa Mungu na nikujidharaulisha na kujishusha hadhi..
Msaada upo...
Ila nikujisikia.....
Kushawishika kwa hitaji...

Na hii ni kwa kiumbe chochote, hata kuku kuna mda anahitaji msaada wako wa hali na mali...
Mimi sitoi msaada usioleweka,
hivi unampaj mtu msaada wa hela ya wigi half unatoka nje unakutana na mgonjwa, kilema, kikongwe, alieshindwa kula half unampitaaa????
Huyo mungu atakuelewa kweliii??
Huo ni msaada ni rushwaa??
Hata yule jamaa wa TAKUKURU amekiuka maadili ya kazi yake , ametoa rushwa..

Kam kigezo ni et nitasaidiwa...
Aloo nisaidiwe tuuu kwani itamegukaaa..
Hata usiposaidiwa moja kwa moja...nchi yako na rais wako wanasaidiwaa..

Shwaini kbsaa...
LAWAMA HAPEWI MBUZI
 
Kuna wimbo mmoja wa Samba Mapangala huwa unanifanya nitafakari sana.."vunja mifupa kama bado meno ipo"
Wanawake hawana shukrani mkuu. .
Kuwa mjanja tu...
Unatoa kwenye game.... mengine una mute. ...
Mke ndio jukum lako....
Sikuiz ukiwasaidia unaitwa "danga"...
 
Back
Top Bottom