Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Jamani, wakati tukisheherekea muungano wetu nimeona fb nikakutana na huyu mwanamke (nimeweka picha 6). Yaani nilistuka sana. Inakuwaje ewe mwanaume unamruhusu amiliki simu,tena smart phone mpaka anaingia fb hivi jamani?
Umemchoka? Au unawaonesha wanaume kwamba we una chombo?
Yaani ukiingia inbox, anakuja fasta. Kwann usimshauri akaachana na matumizi ya simu hizi za kisasa?
Chunga mzigo wako.
Umemchoka? Au unawaonesha wanaume kwamba we una chombo?
Yaani ukiingia inbox, anakuja fasta. Kwann usimshauri akaachana na matumizi ya simu hizi za kisasa?
Chunga mzigo wako.