Nauliza mbinu za kumuacha mwanamke aliyekuganda

Nauliza mbinu za kumuacha mwanamke aliyekuganda

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,600
Reaction score
6,476
Husika na kichwa cha habari hapo juu , hivi unafanyaje kumuacha mwanamke ambaye amekuganda anatoa hadi kauli anaweza kujinyonga kwaajili yangu , ukizingatia mimi nina moyo wa huruma siwezi kumuacha kikatili ijapokuwa kuna mtu mwengine kwake nimekolea zaidi
 
jiulize Swali kwanini unamuacha ? kama huna sababu za msingi hebu kaa chini ujitafakari nazani kuna kitu hakipo sawa kwa upande wako.

Kama pia ulimpenda na sasa humpendi pia nazani kuna kitu hakipo sawa kwa upande wako kisaikolojia.

Hebu sasa tuambie kwanini unamuacha mpenzi wako ili tukushauri vizuri ?
 
Kwanza punguza mawasiliano yaliyopo kati yenu, kama mnatumiana messages na kupigiana simu mara kwa mara anza kupunguza hadi mara moja kwa siku au msiwaliane kabisa.

ukisha ona attachment kati yenu imepungua na yeye ameweza kuishi bila kuwasiliana na wewe, then mwambie tu ukweli kwamba huna tena hisia na yeye na unataka msitishe mahusiano yaliyopo kati yenu.

Maamuzi atakayo chukua baada ya kumpa taarifa sio concern yako tena.
Maana wewe humpendi tena kwanini unajali? Ni bora atambue wazi kuwa amewekeza upendo pasipo na upendo, kuliko aendelee kuwekeza hisia zake kwa mtu ambaye humpendi na hujali tena kuhusu yeye.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu , hivi unafanyaje kumuacha mwanamke ambaye amekuganda anatoa hadi kauli anaweza kujinyonga kwaajili yangu , ukizingatia mimi nina moyo wa huruma siwezi kumuacha kikatili ijapokuwa kuna mtu mwengine kwake nimekolea zaidi
1. Ignore her. punguza kuwasiliana nae, tena usianzishe mjadala naye hata ikiwa salamu., subiri aanze yeye kisha chelewa kumjibu na ikiwezekana usijibu kabisa mpaka ije mada nyingine ambayo nayo utajibu kwa kuchelewa.
2. Tafuta kumkera na usiombe msamaha. be harsh kidogo ukiona anabweka kwa kumkosea ad yeye ndo aombe msamaha ambao utaukataa mpaka alie.
3. Set new priorities, yani badilidha ratiba yako na uoneshe kuna vitu vya ziada unafanya ambavyo si muhimu yeye kujua...stick with this mpaka awe anasema anaona hana thamani kwako...akisema hivyo na wewe una react tena kwa HASIRA KUU plus usisitize ajipe nafasi incase wewe humpi nafasi...yani awe busy na vitu productive kwake yeye
 
Back
Top Bottom