Utakuta wanawake wengi walio olewa na wale ambao bado hawajaolewa wanasema, wanaume was sikuhizi hawaeleweki kabisa; wanaume halikadharika wanasema wanawake walikuwa was zamani siku hizi hamna...
Ndugu zangu suala la ndoa ni jambo kubwa sana tafauti na tunavolifkiria, kwa iyo tunapotaka kulingia lazima tuwe sirius, huwezi kuwa wewe una mila zako, ukataka kumuowa ambae mila zako kwake ni...
Kuna dada tuko naye ofisini, sasa huku na huku akapata mchumba kutoka West Africa, huyu mchumba anadai amesoma Russia na sijui alikuwa anafanya kazi gani hapa Bongo, maana hata dada mwenyewe...
mm ni msichana mwenye umri wa miaka 24 natafuta mchumba ambaye yupo serious kuoa, mm ni mkristo na nna elimu ya ngaz ya cheti na nimeajiriwa kaktka kampuni moja kubwa dsm
sifa za mwanaume...
Na Jumbe Ismailly
15th August 2014
Binti mwenye umri wa miaka 16 na mimba ya miezi mitatu, Esther Jilaa (pichani), ametembea kwa miguu umbali wa kilomita 100 kwa muda wa siku mbili kutoka katika...
Jamani nipo seriously natafuta mchumba. Natafuta mwanamke nitakae make nae maisha, mimi ni muajiriwa serikalini awe kati ya umri 17-22,mimi ni mrefu kidogo na ni maji ya kunde, so sihitaji...
Habari wandugu,
Kwanza kabisa nitoe shukurani kwa waanzilishi wa huu mtandao kwani nimefuatilia mada nyingi hususan za kimapenzi, kwa kweli zilinigusa sana.....so nikaona na mimi nijiunge ili...
Kukaa muda wote kumbembeleza mpenzi wako hupelekea mazoea mabaya ya kutaka kubembelezwa kila wakati na ipo siku utamkuta anakusaliti atakutaka umbembeleze asiwe anakusaliti, mpenzi wako asijue...
Mimi ni kijana mwenye kipato changu cha kutosha tu na nimeajiriwa Serikalini, nimejitokeza hapa kutafuta mchumba. Natafuta mwanamke nitakae weza kuwa nae maishani, umri ni 17-22 uwe na...
Any where i gate wife material,, mimi naamini hilo!! kama yupo msichana anaye amini yeye ni wife material, yupo single na ni mpweke anahitaji kuingia katika serious relation naomba PM yako, hata...
Kumekua na mijadala ya mara kwa mara juu ya mihogo vs vibamia.
Wenye mihogo tumekua tukijinadi ya kuwa mihogo ndo mpango mzima na wenye vibamia pia tumekua tukijinadi ya kua vibamia ndo mpango...
Kristu! Tumaini letu! (Mpunguze kuwaachia kina Baraba, Na kumsulibisha Mwana wa Adamu)
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
YA LEO KALI!!!!!!!!!!!!
Yaani hii khabari ni ya dada...
Siku hizi nimeanzisha mazoea ya kukaa counter nikienda baa... Sijui hasa ni kwa nini, but nimajikuta napanda tu.
Sasa mara kadhaa nimekuwa nikisikia wahudumu wa kike, wakipiga simu kwa mashostito...
Huyu dem nilitaka kumuoa akakataa na kudai ana mtu anayejulikana hadi hom sasa ni 3yrs bado yupo yupo tu,sasa hadi akiniona anabadili uelekeo.Sitomsahau kamwe..! kwani alinikejeli kwa kuniambia...
Leo nimeenda dansi live band. Mmoja wa masteji show hakuwa amevaa chupi name mkoba wake ulikuwa unaonekana dhahiri na hivyo kusababisha midume ipagawe.
Mziki ulipoisha nikamsogelea na kumpongeza...