Kwa nilichokiona jana, ni rasmi vijana tunachapiwa madem zetu na wazee

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,124
11,114
Jana nilitembelewa na dada yangu, kwa kuwa ni mpenzi wa vinywaji ikabidi tutoke nyumbani twende sehemu yenye hiyo huduma, tukafika kwenye mgahawa moja tulivu uliopo maeneo ya Tabata.

Kufika pale ilikuwa ni mida ya saa saba mchana,Mhudumu akasema kuwa kutokana na mda kutokuwa sahihi hawauzi vilevi kwa mda huo au kama vipi watuuzie tuondoke navyo au watutafutie sehem kwa nyuma ambayo haipo wazi ndio watuhudumie.

Tukakubali tupate sehem ili tupate kinywaji tusije sumbuliwa na maaskari, tukaletewa vinywaji tukaendelea na maongezi, lakini wakati tunajadili mawili matatu zikaskika kelele za chini chini za binti akilia kwa uchungu maana ile ilikuwa sio miguno ya raha ni ya maumivu.

Kuangalia vizuri nikagundua pale tulikuwa tumekaa nyuma sehem yenye madirisha ya vyumba vya Lodge, maana pale wana lodge pia so nikaelewa tu pae kuna binti kakutana na balaa huenda kakunjwa huko anauchezea.

Cha kwanza nilijiskia aibu cz nlikuwa na dada yangu then ni mtu mzima, so faster nikaenda kwa mhudumu kumwomba atuhamishe pale sio sehem nzuri ukizingatia nipo na mtu nnaemuheshim, so tukarudi kule upande wa mbele tukikamatwa tukamatwe tu.

Ilipofika mida ya saa kumi kwenye mlango wa kutokea upande wa Lodge, atoka mzee mmoja mweusi hivi kanyoa upara amevaa miwani nyeusi tinted, kwa kumuangalia yule mzee ni mtu anaechezea miaka 55-60 si chini ya hapo, na nyuma yake alikuwa ni binti chotara hivi kavaa baibui nyeusi, Binti mzuri haswaa kwa kumuangalia yule alikuwa ni 22-25 si zaidi ya hapo.

Na kilichonishangaza ni macho ya yule binti yalikuwa yamevimba yani kama mtu alietoka kulia macho yalivyo, alikuwa hana raha , katoka anaangalia chini tu nahisi ni aibu na anaonekana alikuwa na maumivu huenda rohoni or mwilini.

Wakati wa kuondoka ikabidi nimuite mhudumu aliyetuamisha ile sehem nikamuuliza pembeni, inamaana yule mzee ndio alikuwa na yule binti humo ndani na huyo binti ndio alikuwa anapiga makelele namna ile?, yule mhudumu akaniambia ndio yeye ndio kwani cha kushangaza kipi mbona wazee wengi tu wanaleta vitu vyao hapa labda wewe umeona leo, akaishia kucheka.

Nilibakiki mdomo wazi nikajiuliza vijana tunakwama wapi hadi tunachapiwa na hawa wazee na yule mzee anaonekana alimshindilia kweli kweli maana yule binti ile hali ilikuwa sio ya kawaida, na usikute yule binti ana boyfriend wake kijana tu Handsome, lakini huenda ni pesa au hitaji la kitu fulani limempeleka mikononi mwa yule mzee.

Jamani niishie hapo ila vijana tutafute pesa , mambo ya kunyanyua vyuma na kujipodoa alafu hela hatuna tutaishiwa kuchapiwa na hawa wazee nawaambieni.
 
I wish ungepata namba za simu za huyo mzee na mie ningejaribu bahati yangu kama ni kweli anapenda vibinti tu au hata watu wazima
mkuu i swear yule mzee kama hatumii dawa basi mchawi maana yule binti ni mzuri alafu anaasili ya kiarabu kwa mbali yani chotara hivi au yule mzee ana hela ndefu maana gari yenyewe aliyoondoka nayo pale akiwa na yule binti sio haba,
 
wapi hadi tunachapiwa na hawa wazee na yule mzee anaonekana alimshindilia kweli kweli maana yule binti ile hali ilikuwa sio ya kawaida, na usikute yule binti ana boyfriend wake kijana tu Handsome, lakini huenda ni pesa au hitaji la kitu fulani limempeleka mikononi mwa yule mzee.
Hapo kwenye red nimecheka sana 🤣🤣🤣
 
mkuu i swear yule mzee kama hatumii dawa basi mchawi maana yule binti ni mzuri alafu anaasili ya kiarabu kwa mbali yani chotara hivi au yule mzee ana hela ndefu maana gari yenyewe aliyoondoka nayo pale akiwa na yule binti sio haba,
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
vijana mmekeama sana hebu tuachieni sisi hilo jukumu sasa wewe kijana unapiga demu hata kuugulia haugulii anakuangalia tu atakuheshimu kweli? piga demu mpaka majirani wanasikilizia nao wanapata hamu akitoka hapo hamu yote umemkamuuuuaaa nyie wanaume wa dar chips mayai kuku mnabakisha halafu unaenda kukamua huwezi kumfikisha kilimanjaro mtoto wakike
 
mkuu i swear yule mzee kama hatumii dawa basi mchawi maana yule binti ni mzuri alafu anaasili ya kiarabu kwa mbali yani chotara hivi au yule mzee ana hela ndefu maana gari yenyewe aliyoondoka nayo pale akiwa na yule binti sio haba,
Mkuu kumbe sababu unaijua,sasa swali lako la nini??
 
vijana mmekeama sana hebu tuachieni sisi hilo jukumu sasa wewe kijana unapiga demu hata kuugulia haugulii anakuangalia tu atakuheshimu kweli? piga demu mpaka majirani wanasikilizia nao wanapata hamu akitoka hapo hamu yote umemkamuuuuaaa nyie wanaume wa dar chips mayai kuku mnabakisha halafu unaenda kukamua huwezi kumfikisha kilimanjaro mtoto wakike
Mleta mada amesema demu alikuwa nagugumia kwa maumivu na sio raha..point yako ni ipi??
 
Jana nilitembelewa na dada yangu so kwa kuwa ni mpenzi wa kinywaji ikabidi tutoke home twende sehem yenye hiyo huduma, Tukafika restaurant moja tulivu ipo maeneo ya tabata.

Kufika pale ilikuwa ni mida ya saa saba mchana,Mhudumu akasema kuwa kutokana na mda kutokuwa sahihi hawauzi vilevi kwa mda huo au kama vipi watuuzie tuondoke navyo au watutafutie sehem kwa nyuma ambayo haipo wazi ndio watuhudumie.

Tukakubali tupate sehem ili tupate kinywaji tusije sumbuliwa na maaskari, tukaletewa vinywaji tukaendelea na maongezi, lakini wakati tunajadili mawili matatu zikaskika kelele za chini chini za binti akilia kwa uchungu maana ile ilikuwa sio miguno ya raha ni ya maumivu.

Kuangalia vizuri nikagundua pale tulikuwa tumekaa nyuma sehem yenye madirisha ya vyumba vya Lodge, maana pale wana lodge pia so nikaelewa tu pae kuna binti kakutana na balaa huenda kakunjwa huko anauchezea.

Cha kwanza nilijiskia aibu cz nlikuwa na dada yangu then ni mtu mzima, so faster nikaenda kwa mhudumu kumwomba atuhamishe pale sio sehem nzuri ukizingatia nipo na mtu nnaemuheshim, so tukarudi kule upande wa mbele tukikamatwa tukamatwe tu.

Ilipofika mida ya saa kumi kwenye mlango wa kutokea upande wa Lodge, atoka mzee mmoja mweusi hivi kanyoa upara amevaa miwani nyeusi tinted, kwa kumuangalia yule mzee ni mtu anaechezea miaka 55-60 si chini ya hapo, na nyuma yake alikuwa ni binti chotara hivi kavaa baibui nyeusi, Binti mzuri haswaa kwa kumuangalia yule alikuwa ni 22-25 si zaidi ya hapo.

Na kilichonishangaza ni macho ya yule binti yalikuwa yamevimba yani kama mtu alietoka kulia macho yalivyo, alikuwa hana raha , katoka anaangalia chini tu nahisi ni aibu na anaonekana alikuwa na maumivu huenda rohoni or mwilini.

Wakati wa kuondoka ikabidi nimuite mhudumu aliyetuamisha ile sehem nikamuuliza pembeni, inamaana yule mzee ndio alikuwa na yule binti humo ndani na huyo binti ndio alikuwa anapiga makelele namna ile?, yule mhudumu akaniambia ndio yeye ndio kwani cha kushangaza kipi mbona wazee wengi tu wanaleta vitu vyao hapa labda wewe umeona leo, akaishia kucheka.

Nilibakiki mdomo wazi nikajiuliza vijana tunakwama wapi hadi tunachapiwa na hawa wazee na yule mzee anaonekana alimshindilia kweli kweli maana yule binti ile hali ilikuwa sio ya kawaida, na usikute yule binti ana boyfriend wake kijana tu Handsome, lakini huenda ni pesa au hitaji la kitu fulani limempeleka mikononi mwa yule mzee.

Jamani niishie hapo ila vijana tutafute pesa , mambo ya kunyanyua vyuma na kujipodoa alafu hela hatuna tutaishiwa kuchapiwa na hawa wazee nawaambieni.
Hahahahahahaa nimecheeeeeeeeeeeeeeka kama mazuri,mnapokwamia vijana hamjapajua tuuu mpk leo?, nguvu za kiume hamnaaaa (Ankara), nguvu za kawaida kwa kula chips kuku na kutaka kutunisha vifua muonekane na Six pack wakati kazi zinawashinda tena mnakosea kwingiiiiii na kubaya zaidi kupenda kulelewa wadada wamechokaaaaa kuleaaaa
 
Mleta mada amesema demu alikuwa nagugumia kwa maumivu na sio raha..point yako ni ipi??
Mi naona point haikuwa mguno ila maswali ni baada ya kumwona yule shaibu na mwanamwali ndio maswali yakatiririrka
 
Back
Top Bottom