1st AID
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 1,079
- 523
Habari
Nimekuwa natafiti sana kuhusu taasisi ya ndoa na kwa bahati mbaya niliathiriwa na mazingira katika utafiti wangu hivyo haukukamilika, katika lugha ya kiingeleza neno mume au mke ni pana sana na baada ya mapinduzi ya kiuchumi tafsri ya maneno haya imekuwa pana sana.
Nataka kujua toka kwenye jamii za kiafrika Mume ni nani? Ni yapi majukumu yake?.
Je kuna uhusiano wowote kati uongozi na utawala kwa mume?
Mke je anawajibu gani kwa mume, nafasi yake ni ipi? Kunatofauti za kimtazamo zinazo mmeza mume kwa mke?
nawakilisha!
Kabla sijakujibu naomba ufungue ubongo kwa huu mfano..
A man can be a wife and a woman can be ''husband, the UK
government has decided, overruling thfe Oxford English Dictionary and effectively
putting an end to the traditional meanings of the words for marriage
partners.

Ww ni me au ke?

Sasa basi huko sitaki kwenda kwa sababu ya confusion na ndio maana nataka tubaki kakati jamii ya kiafrika tuone je tafsiri yetu hasa ni ipi? Au tunatohosha zilezile zinyemkanganyo na kuzishi kwetu?