PEASANT BOY
Member
- Jul 24, 2014
- 53
- 0
Ili mwanaume awe na uwezo wa kimapenzi akikutana na mwenzi wake anatakiwa azingatie mambo gani au ni hatua gani anatakiwa kuzingatia kikamirifu?
hatua ni chache tu....
1. menya, na ukate kate katika vipande vidogo vidogo
2. osha vizuri, weka katika sufuria yako
3. wekea chumvi kiasi na mafuta, na viungo upendavyo
4. weka jikon, baada ya dakika 20 vitakuwa tayari
5. weka kwenye sahani yako tayari kwa kula...usisahau matunda!!!!