Rafiki hadi ndugu wa kweli karibu

Rafiki hadi ndugu wa kweli karibu

fahim

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
54
Reaction score
6
Salaam.

Mimi nina (25yrs), mpole, muaminifu, mkarimu na mwenye heshima kwa wote na degree holder.

Natoka kwenye familia ya kawaida sana ambayo haina urafiki na familia yoyote bora, nipo hapa kutafuta family friends kutoka familia bora, yaani maboss, wafanyabiashara n.k, mwanamme au mwanamke, dini yoyote, kutoka sehemu yoyote, tunayelingana au kunizidi please nipo serious naomba urafiki hadi undungu.

Karibu waungwana, waerevu na wasitaarabu.

Atakae guswa na hili naomba ani-pm.wasalaam.
 
Wasubiri wenye kuhitaji mahusiano kama hayo watakuja...
 
aisee mkuu ningekuona wa maana kama ungekuwa unatafuta maadui ......mkuu embu jaribu kutengeneza familia bora ya kwako ...

nisamehe kama nitakukwaza ila ndiyo ukweli tu ..
 
aisee mkuu ningekuona wa maana kama ungekuwa unatafuta maadui ......mkuu embu jaribu kutengeneza familia bora ya kwako ...

nisamehe kama nitakukwaza ila ndiyo ukweli tu ..
njoo adui yangu kule chemba....
 
Back
Top Bottom