kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Tumeona mada nyingi sana za ushauri unao husu mahusiano. Tumesaidia njia nyingi kutambua na kupima mapenzi.
Anakufungulia mlango wa gari, Anaonekana bora akiwa jirani na wewe "Anataka akuoe" "Anakununlia zawadi" "Hapendi kabisa kukuumiza hisia zako" "Anakupigia simu mara 5 kwa siku" "Anakutumia sms" Bla bla bla
Player yeyote au mwanaume mwelewa akimpata mwanamke ambaye ni mrembo, anazo pesa, ana upeo mkubwa, wengi wao wanakuwa well treatment. Siyo ishu kubwa. Wanaume wengi wanafanya hivyo mpaka pale apatacho nini alikuwa anakitaka, iwe kufanya ngono, One-night stand au ndoa. Ukweli, wanaume wengi uonyesha rangi yao ilivyo baada ya kuoa. Na ndio maana nasema hili siku zote Kufunga ndoa ni timizo tu, ila kutunza ndoa yako ni safari isiyo na mwisho. Kila kitu hakita kuja automatically kwa sababu ya hiyo metal kidoleni kwako au kipande cha karatasi ulicho saini. Ulicho saini, ukweli ni barua ya kukufanya ujiunge kwenye jamii ya wanandoa, Aijalishi kama uta pasi au uta feli.
Hivi ni vitu nilivyo kusanya kuhusu love-o-meter ya wanaume wengi.
1. Mwanaume ambaye anampenda msiachana, ata muoa ASAP: Wanaume siku hizi awaoi kutokana na upendo. Wengi wanaoa kwa sababu wanaitaji mke/kusaidia kufika malengo fulani. Pindi mwanaume akimpenda mwanamke, anamuoa kwa sababu anampenda na sii kwa sababu anaitaji mke. Kwa upande wako jiulize, wewe ni wife in need au beloved wife.
2. Watu watakuambia anakupenda: Mwanaume akiwa amechanganyikiwa kwako, marafiki zako, familia yako, wanataaluma wenzako, jamii na wale watakao waona mpo pamoja watakuambia. Kwa wale waliomfahamu zamani, watakuambia, nini umeki fanya kwake?
Kuna vitu vitaonekana vimebadilika kwake ambavyo vitawashangaza watu. Kama alikuwa ni kijana mzuri kabla hamjawa pamoja, atakuwa mzuri zaidi kwako. Kama alikuwa ni mtu mwenye tabia mbaya, muda mfupi atakuwa mpole sana akiwa na wewe. Kunakuwa na sababu fulani, kitu tofauti kabisa kitakacho washangaza watu.
3 Anakuwa na wasiwasi wa kukupoteza: Hatakubaliana na mawazo ya wewe kuishi tofauti na yeye. Atafanya kila liwezekanalo kuhakikisha anakuwa na wewe pamoja na ku give up his priced bachelorhood.
4. Atatumia na wewe kwa furaha: Mwanaume ambaye anakupenda, anakuwa na furaha kutumia na wewe pesa ambaye mda mwingine ameipata kwa ugumu, awe amelala na wewe au ni kudate tu. Hata kama wewe ni materialistic.
5. Kama ni Player, atakulinda na marafiki zake wasio na tabia nzuri/crazy: Kawaida kama unamahusiano na Player au wenye tabia za ladies man, rafiki zake watakutongoza, hawatakuheshimu. Wanawake wengine watataka kugombana na wewe. Atakuwa mlinzi wako, atakuweka mbali na marafiki zake. Atakuweka alama fulani kwa marafiki zake ili watambue ukweli. Wanawake wengine watajisikia vibaya kwa uwepo wako, wataogopa kuongea na wewe au kukuchallenge.
6. Tendo la ndoa halita kuwa la kurupushani, litakuwa la love making: Atakuchezea wewe kama Spanish guitar, sababu atataka kuacha alama kwako, atataka wewe ufurahi kadri awezavyo, atataka wewe umfeel yeye. Inakuwa sanaa na sii romp. Mwanaume ambaye anakupenda hata jiondoa haraka baada ya kufika mshindo na hawezi kuruka kutoka kitandani baada ya show. Atakaa kwa muda kidogo, kukumbatia labda tu awe na haraka kwenda sehemu muhimu.
BAADA YA KUOA:
7. Atakupenda sana: Mwanaume ambaye anapenzi la kweli, atakuwa mzuri sana kwako. Atakupa wewe zaidi ajipapo yeye. Wewe utakuwa ni madam katika namna yeyote ile na atakulinda mpaka tone la mwisho la damu.
8. Hatakuwa na tabia ya kuchukua kitu kutoka kwako: Hiyo ni kwa sababu hakukuoa wewe kwa sababu ya utajiri wa baba yako, atapenda kukupa wewe zaidi akipatacho.
9. Ataheshimu mawazo yako: Hataenda kwa mtazamo wake, hataheshimu mawazo yako. Ni jukumu lako kutambua ni kwa namna gani atayafanyia kazi.
10. Hata kunyanyasa pindi ukichelewa kuzaa: Kutatokea vijimaongezi vya hapa na pale ila hawezi kukuongelesha ya maudhi. Au kupunguza matumizi yako ya mwezi kisa tu huzai. Atakulinda kutokana na pressures za njee, etc.
11. Hata kupa pressure ya wewe kupata kazi: Kwa sababu hakukuoa wewe kupata financial partner. Amekuoa kwa sababu anakupenda kwa hiyo hata kutreat wewe au kukuona wewe ni liability kama hautakuwa na kazi
Kwa faida yako tu:
Upendo siyo kitanda kilicho na maua ya roses. Usitegemee yeye kuwa gentlemen. Kwa nini awe anakufungulia mlango? Wewe hujui? Prince Philips mwenyewe amfungulii mlango Queen Elizabeth kila wakati zaidi ya sehemu za public. Kwa mfano mwanaume ni mtu aliye busy, mkubwa serikalini, officer mkubwa wa kampuni, mfanya biashara mkubwa etc, atawezaje? Hawezi kukupigia simu kila siku lakini atafanya kitu cha kukufanya wewe kujisikia wathamani. Hawezi siku zote kukuita "Honey", "Baby" etc. Siku nyingine atakuita jina lako la ukoo "Nyangeta" njoo hapa au "Chimbukati" nataka kula. au "Kuchukuchu" usinipotezee muda. Wakati mwingine kutakuwa na wakati mgumu. Muda ambao utalia na kushangaa nini unafanya na yeye, lakini wakati huu ndio utakupa faraja na kukuhakikishia upo njia sahihi.
Asanteni!!
Nimeitafsiri kutoka website ya Nailaland.