Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Natumai hamjambo. Ikitokea umeachwa kwa wakati ambao hukuutarajia usijenge uadui au chuki na aliekuacha,kaamua kuchagua upande mwingine wa maisha. Kubali matokeo umeachwa kwa upendo kabisa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanaume mwenye wivu ambaye kila saa ana shika shika na kuchunguza Simu ya Mkewe, au yule ambaye muda mwingi anaonekana kama hana habari vile. Katika swala zima la kuweka zile Application za...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu,natafuta demu wa kufurahia naye maisha.sitamuoa labda itokee miujiza,umri ni wowote ule ila usizidi 28 years
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanna MMU Naombeni msaada wenu wakuu kuhusu hii hali inayonisumbua. Wasichana wa umri Wangu sina hamu nao kabisa.
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Tujiunge na rafiki yangu mpenzi Matege katika siku hii nzuri kwake anapoazimisha siku yake ya kuzaliwa. Live long my dear Matege
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Heshima zenu wakuu: Ninatafuta msichana aliyeserius na maisha , ikiwezekana tutaoana. Awe mwenye umri kati ya 21-27. Kwa urahisi wa kuonana, akiwa anatoka kanda ya nyanda za juu kusini, moro na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Awe anaishi Zanzibar(Unguja au Pemba) Mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo:- -Kipaumbele uwe Umri kuanzia 35-55 (chini ya umri huo itafikiriwa ili kujua kiwango cha usumbufu) -Watoto sio tatizo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WANAJF; Kwanza naomba nitangulize pole kwa wafiwa wote na Watanzania kwa ujumla kutokana na kifo cha mpendwa wetu Steven Kanumba. Sasa hoja yangu hapa ni moja tu kuhusiana na utamaduni wa Wahaya...
5 Reactions
98 Replies
25K Views
aboy aged 23.looking for abeautifull sugermumy all over the world.my email are jasperkandakome@gmail.com or conterct me on +255753638460.im da price of love baby. WELCOME TO NEW WORLD
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"MADHAIFU YANGU NI YAPI?" Hii nimeisikia sehemu na nikaona ni maada nzuri kwa kweli. Mara nyingi watu wengi tuko wepesi mno kuyajua madhaifu ya jirani au rafiki yako. Lakini Je binafsi...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Usioe mwanamke asiye na akili ili kuokoa watoto wako. Tafiti mbali mbali za kisayansi zina bainisha ya kuwa mtoto huchukua akili ya mama yake kwa asilimia kubwa sana. Endapo mama atakuwa na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana MMU za asubuhi! Ndoa yangu inapitia kipindi kigumu sana kuanzia juzi Jumatano, na leo imeingia katika sura tofauti (inanisikitisha sana hii hali). Kichwa kina mchanganyiko wa hasira na...
3 Reactions
125 Replies
15K Views
Wana JF naomba kujua hili,...Kuna jamaa yangu wa karibu tulipokua mwaka wa kwanza chuo kuna binti alimfungua na kumuingiza ukubwani nadhani nimesomeka,tulipofika mwaka wa tatu akawa na mwingine wa...
2 Reactions
93 Replies
13K Views
Ndoa ni zawadi njema kwa mwanadamu toka kwa MUNGU, Hata hivyo ndoa hizi hizi maranyingine hugeuka kuwa kovu kubwa kwa mioyo ya Wawili waliopendana. Swali langu linajengeka hapa. Mara nyingi ndoa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Hili jambo kama kuna mtu itamgusa na anataka ubishi abishe tu, ila ukweli ndio huu na sisi tusio walevi ni vidume kweli kweli na tunawagongeeni mpaka mjute. Mwanaume mlevi ni ngumu sana...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Habari zenu, jaman mimi sio mwenyeji sana humu ila huwa napita mara nyingi kujifunza vitu mbalimbali, kubwa lililonifanya niwe huku leo; Mimi ni binti nina miaka 25 ila kwa kweli mimi sina...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndugu wana JF Kautafiti kangu kado kamebaini kuwa, wanawake anataka mwanaume mwenye sifa kuu 3. 1. Mwanamke anataka mwanaume mwenye sura nzuri atakaye simama naye, mbele za watu huku akijiamini...
3 Reactions
60 Replies
9K Views
Hivi ndugu zangu naomba mniambie tapeli wa mapenzi anakuwaje? Maana naona inanichanganya sana. Karibun wakuu.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Naomba msinielewe vibaya wana wana MMU. Ila hii kitu kwa wanawake ni zawadi kubwa sana wamepewa na Mungu. Mfano mwanaume anaweza kuwa anasauti kama ya mbuzi beberu, wanawake wakapanga foleni...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…