Habari zenu, jaman mimi sio mwenyeji sana humu ila huwa napita mara nyingi kujifunza vitu mbalimbali, kubwa lililonifanya niwe huku leo;
Mimi ni binti nina miaka 25 ila kwa kweli mimi sina maujanja kwenye yale mambo yetu kunako kitanda sasa huwa nahisi mwenzangu hafurahii kabisa ila anashindwa kusema.
Nawaomba ndugu zangu nimnisaidie ni mambo gani naweza fanya kwa mpenziwangu ili wote tufurahie kuwa pamoja.
Sorry kwa post ndefu.