Mwamamke anahitaji mwanaume mwenye sifa 3

Mwamamke anahitaji mwanaume mwenye sifa 3

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Ndugu wana JF
Kautafiti kangu kado kamebaini kuwa, wanawake anataka mwanaume mwenye sifa kuu 3.

1. Mwanamke anataka mwanaume mwenye sura nzuri atakaye simama naye, mbele za watu huku akijiamini, na kusema huyu mnaye muona ndiye mume wangu.

2. Mwanamke anataka mwanaume anaye jiamini. Ninapo sema kujiamini namaanisha nguvu za kiuchumi. Hakika mwanaume huwezi kujiamini kama kiuchumi uko ovyo. Ndiyo maana wanaume wanaopata vicent kwa msimu wakivikamata huzuzuka na kuanza kuita mwanamke aliye mmiss kitambo, kwani anayo haki mfuko uko sawa.

3. Sifa ya 3 ni Mahaba. Mwanamke anataka mwanaume anaye yaweza.

Wanaume wengi kitandani hawako vizuri, ila midomoni wako vizuri, utasikia jana nilipiga vi5. Sehemu kubwa ya wanaume wengi wanao simlia mambo yao ya kitandani, wengi hujisifia kuwa wamekojoa mara kadhaa.

Ukweli ni kwamba ewe baba kupiga vingi si issue bali mwenzako naye kashiba? Wewe baba ni sawa na mwandaaji wa chakula, ni wajibu wako kuhakikisha mwenzako anashiba.

Hivyo basi nadira kukuta mwanaume ana sifa zote 3, yaani mzuri wa sura, ana pesa na kitandani yuko vizuri.

Karibuni.
 
Ngumu kumeza na pia kupata mwenye sifa zote,ila sifa kuu ni moja tu money money money,hata uwe na sura mbaya kama nanihii ukiwa na faranga we ntu.
 
Mwanamke wa aina gani anataka mwanaume wa hivyo?

Ni ukweli usiopingika, kila wapenzi wawili lazima kati ya sifa 3 mojawapo imehusika. Japo wanawake wengi wanaangalia sana nguvu ya uchumi kwa maana ya vitu.
 
Fedha
Nasema fedha hujaitaja?

Ndiyo maana nikasema sifa 3, kuwa na ndiyo hitaji kuu lakini kama hatosheki ni kazi bule. Ndiyo maana sifa hizi wanaume wanazigawana, mnunulie kila kitu ale anywe ashibe, magari ya kifahari, nguo na kila aina ya mitindo. Kama chumbani humfikishi lazima akawasake wajuzi wa mambo.
 
mwanaume uchumi akuu mie mwonekano kawe stage show wa twanga pepeta
 
Mkuu weweza kuwa na mapesa lakini mashine ukaipiga fyongo. Hapo ndo ataenda kuwapa wajuzi.

Hata ukiwa na kibamia kama funza, kama unayo pesa kwangu nitaona kama una mtwangio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom