Tapeli wa mapenzi

Tapeli wa mapenzi

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
Hivi ndugu zangu naomba mniambie tapeli wa mapenzi anakuwaje?

Maana naona inanichanganya sana.

Karibun wakuu.
 
Kama ni mdada anakuwa na kidoti cheusi karibu na pua...teeeh!
Kwa wakaka huwa wanaopenda kuwa na mustachi ni matapeli...teeeh!!
 
Kama ni mdada anakuwa na kidoti cheusi karibu na pua...teeeh!
Kwa wakaka huwa wanaopenda kuwa na mustachi ni matapeli...teeeh!!

yawezekana!!!! Mmh!!!
 
Back
Top Bottom