Habarini wanajamvi.
Niko na stress sana this is the second time in my love life . Naona hiki kitu kinajirudia rudia Katika maisha yangu.
Mara ya kwanza nilikuwa na mahusiano yaliyodumu kwa muda wa miaka miwili na mwanaume we loved each other hadi baadhi ya ndugu zetu ktk familia walikuwa wanajua Kabla hatujaingia hatua nyingine ya kwenda kwa wazazi na kuvikwa Pete ghafla mwanaume akawa amebadilika kidogo baadae nikagundua ana affair na Mtu mwingine tukaachana.
Baadaye akaja na maelezo turudiane kule alikosea ni shetani lakini yule msichana tayari ana ujauzito , mimi nikakataa nikaendelea na maisha yangu .
Hii kitu ilitokea 2010 but hadi sasa huwa ananitafuta na kusema ananikumbuka ameoa now ila siyo yule msichana aliyempa mimba.
Kiukweli nilikuwa nampenda sana ila niliona bora akaishi na huyo msichana mwenye mimba ili mtoto akakae na wazazi wake wote japokuwa niliumia Mungu alinisaidia nikavuka .
Sasa kitu hiko hiko kimenitokea tena sasa uhusiano wa mwaka mmoja mwanaume kampa mimba mdada anasema ananipenda kule kwa mdada wamekuja juu amuoe amechanganyikiwa mimi nimechoka hata sijui nafanyaje I luv him so much .
Huyu mwanaume wa sasa alikuwa na mtoto mmoja alizaaga akiwa shule niliona no problem huyo mmoja haina shida sasa haya yaliyotokea yameniweka ktk wakati mgumu .
Najiuliza kwanini haya mambo yanatokea kwangu mambo yanakuwa impossible !
I have a good heart sipendi kuharibu maisha ya watu wengine I love the guy so much kumuachia huyo mdada naumia .
Kuolewa na kuishi na watoto wawili mama tofauti naona mambo yatakuwa complicated!
Nikiamua ku-let go niolewe na Mtu mwingine naona nitatoka nje ya ndoa kuna wanaume wengine wananipenda but I luv this guy !
Hapa nataka nimuombe Mungu anisaidie nivuke hapa sijui niombe kwa staili gani Mungu anipe mwingine nitakaempenda? Anisaidie nimtoe huyu mwanaume moyoni? Au mtoto asizaliwe naona anajali huyo msichana anasema ana mtoto wake na ndio kinachowaunganisha hata sielewi.