Habari wana MMU.
Kuna jambo linaumiza sana watu, utakuta mtu ili kuondoa upweke ametafuta boyfriend/girlfriend ambaye siye chaguo lake, watafurahi vizuri na nini na nini.
Baada ya muda mtu...
Hapa duniani hakuna mtu anayeishi maisha magumu kama yule aliyefiwa na mama yake mzazi.
Ni bora ya mtu asiye na pesa, atahangaika atatafuta na ipo siku atazipata hata kama ni uzeeni atapata tu...
Wapendwa tuelezane hili, unakuta mwanaume anamiliki ghorofa, self-container, labda pia amempangishia mwanamke kwahiyo anahudumia nyumba tatu na kila moja ina mwanamke, lakini muda wa kula lunch...
Habari
Ni Jumatatu, leo asubuhi. Nimefika kituo cha dala dala, nasubiri usafiri wa kwenda mtaani kutafuta cha kutafuta. Noah imekuja, ikapaki. Mshikaji wangu, hatujawasiliana kitambo tu...
Habari zenu, nadhani kuna baadhi yetu wanafatilia ile tamthiliya ya Be Careful with My Heart inayoonyeshwa katika luninga ya Star TV. Sasa mimi pia ni mdau huwa nakaa naangalia na familia akiwemo...
Jamani ieleweke kuwa ni rafiki si mimi
Kuna rafiki yangu jamani wamebreakup na mpenziwe lakini kibaya zaidi mahusiano yao yalijulikana na baadhi ya watu kama viongozi wa kanisa na wengineo, sasa...
Bandugu mi nimekerwa saaana na hii kitu, mtu unahangaika kutafuta barafu wa moyo wako ukimpata either unakataliwa kwao kwa kigezo cha dini au anakataliwa kwenu kwa kigezo cha dini tayari mi...
Leo nina kisa nataka kuwasimulia.
Bwana mmoja alikuwa amekwenda kazini kama ilivyo kawaida yake, akiwa ndio anafika kazini akapigiwa simu kujulishwa kwamba nyumba yake inaungua.
Bwana yule...
Halooooo,
Nimekuwa nikifukuzia wadada kadhaa na hatimaye kuingia nao katika mahusiano kwa shauku kubwa lakini cha ajabu baada ya wiki kadhaa najikuta sina hamu nae tena,yaani nahisi kero na...
Habari waungwana, I am 25 kwa umri. A girl, looking for a serious relationship, am a banker, 2 yrz in work, alie serious tafadhali ,ready kwa kuanzisha uhusiano wa kudumu, na kulifikia lengo la...
Bosi wetu katoa ushauri huu na ukatoka katika gazeti maarufu la RISASI MCHANGANYIKO na kila Jumatano huwaga anaandika mambo huko.
Mapenzi ya Kibongo ni ya aina yake duniani, hivyo nimeona leo...
Habari za Jumapili JF Members.
Naamini hamjambo wote na wale wenye shida Mungu awapiganie mpone.
Back to the topic. Mahusiano ya mapenzi huanza kama mbegu inavyoota.
Huchipua kidogokidogo na...
Jamani Naombeni msaada wenu. Nashindwa kufanya mme wangu afike kileleni.
Mara tukianza nikiwa juu nikikaa muda kidogo anasema namuumiza akija juu yangu kikichomoka anakasirika na kinakua...
Habari zenu wapendwa.
Samahani naomba niwaulize enyi wanaume hivi mnaposusia chakula nyumbani kisa umepishana kauli na mkeo au mmegombana unaamua kutokula, huwa mnafikiria kukomoa, kuumiza au...
Habarini wakuu.
Leo nina kuja na mada tena kwa style ya swali kwa wadada zetu kama mkakati wa kuwarekebisha akina sisi tujue madahara ya tunachowafanyieni au kuwajeruhi kiroho katika sekta nzima...
Mshikaji wangu mmoja mtumishi wa umma baada ya kuchoka na mademu wa town mwezi uliopita aliamua kwenda kijijini kwao kuoa.
Akapata binti mrangi toka Kondoa nadhani ni standard seven au form four...
Nimeolewa na nina mtoto 1 wa 5yrs, mwanzo wa ndoa yetu tulikuwa na maisha ya chini ndugu wa mume waliniheshimu nami niliwaheshimu, MUNGU akatujalia rizki tukajenga na tukafungua biashara, mawifi...