The biggest mistake we do in love

The biggest mistake we do in love

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
1,819
Reaction score
1,188
Habari za Jumapili JF Members.

Naamini hamjambo wote na wale wenye shida Mungu awapiganie mpone.

Back to the topic. Mahusiano ya mapenzi huanza kama mbegu inavyoota.

Huchipua kidogokidogo na mwisho huwa imara zaidi.

Lakini pamoja na kuchipua na kustawi hufikia kipindi yakaisha, mengine huishia katika ndoa na mengine uchumba.

Lakini kuisha kwake huleta maumivu, ni sawa na kusema mmea unang'olewa obvious lazima ukauke, usinyae n.k Lakini baadaye unaanza kuchipua tena.

Sasa kuna watu wanapoachana na wapenzi wao wanaumizwa sana, baada ya kuumizwa sana, sasa hawapendi tena wanafanya comparison with their ex( wanalinganisha na wapenzi waliopita).

This is the biggest mistake, you are no longer loving, you are comparing new lover with yo ex, that relationship will not work anymore.

Stop comparing your love with your ex please.

Just in case u see ua ex z better than the present lover, y did u let him/her get off you?
 
Mupenzi huyo huyo tu sipendi kukumbuka maovu yake seuze mupya!
Cha kujipa maumivu ya kiuno niiini?
 
Last edited by a moderator:
na ukishaanza comparison lazima mtazinguana tu
 
Mi ukinicompare nakumwaga na makosoro yako kibao nakuchana live!
 
Signature ya Heaven on Earth inahusika sana hapo.....

"You may not be her LAST,her FIRST,or her ONLY,she loved before she may love again
IF she love you now what else matters!!!!!!!!!"
 
Last edited by a moderator:
Am a risk taker..sinaga mda wa comparison....I believe kila mtu ana uzuri wake..I hav never met a man I never liked atleast
 
Back
Top Bottom