True story:Msaada wa mawazo kwa huyu dada jaman yuko njia panda,

HALELUYA MOSHI

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
2,122
1,203
Habari wanajamvi.
Nitatumia majina yasiyo halisi kwenye hii habari ili kuleta mrejeo ulio sawa.

MWINDA na MWADAWA walianza mahusiano wakiwa chuo cha uuguzi, wakiwa mwaka wa mwisho kumaliza MWADAWA akiwa na ujauzito wa MWAINE wa miezi sita, wakakubaliana kuoana, walivopanga hayakufanikiwa, kwani MWINDA akiwa safari kurudi kwao baada ya masomo wakapata ajali naye ni mmoja kati ya watu waliopoteza maisha ( mungu amuweke apendapo milele) Amen

Inasemakana kuwa kwa sababu ya miundo mbinu ya wakat huo, ilimchukua mda sana MWADAWA kugundua kuwa MWINDA alifariki kwenye ajali, maana ilikuwa lazima usikilize matangazo ya vifo na hapo kama kwenu mna radio, lakini baadaye wakajua, hiyo safari ya maisha ya MWAINE pasipo kumjua babake wala babake kumfahamu mwanaye ikaanzia hapo. (ukumbuke wazazi wake walikutana chuo, hivo hata familia zao hazikufamiana kabisa zaid ya wao wawili tu).

Baada ya mwaka na nusu tangu kuzaliwa kwa MWAINE, inasemekana MWADAWA akawa na mahusiano na MWINDA (baba mlezi wa MWAINE) hatimaye familia ambayo mpaka sasa imemfanya MWAINE kuwa na wadogo zake sita.


SAFARI YA MAISHA YAMWAINE KWA UFUPI SANA
 
Back
Top Bottom