Jinsi ya kung'oa kisiki cha tukapime kwanza

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Kuna haka ka mchezo ka wanawake, eti ukimpiga mistari akaingia line basi anakuambia tukapime, wanaume wengi wamekuwa wakijikwaa wanapokutana na hiki kisiki.

Leo nitawafumbua jinsi ya kuking'oa kirahisi. Kiukweli kupima si jambo jepesi hata kama unajijua upo salama, maana vyanzo vya hili gonjwa ni vingi, watu wengi wameumia kwa kukimbilia tu kupima eti kwa kujiona hajawahi bugi, thubutu, wengi wa namna hii wanakufa mapema wakipewa majibu ambayo siyo.

Leo chukueni huu uzoefu, akikuambia tu tukapime hapo hapo mjini twende muda huu huu, onesha unahitaji sana, wengi wa wanaosemaga tukapime huwa wanabip tu maana mziki wa kupima wanaujua, ukionesha kukubali tena haraka huwa wanaridhika huyu jamaa yupo safi na anajiamini japo wakati mwingine nawe unakuwa na hofu, utashangaa anajibu leo siwezi tutapanga.

Akishajibu tu hivyo jua tayari ushang'oa mzizi.

Ukijifanya kubisha atajua hujiamini na haupo salama. Ikitokea kweli akaitikia wito wa kwenda basi jitahidi ukutane naye na ikiwezekana muanze safari halafu kama hujiamini basi ibua udhuru hapo katikati ili kuikwamisha hiyo safari kwa siku hiyo, halafu jitahidi kumsoma ni wakati gani ukimkomalia anakuwa hawezi kutoka, amini usiamini utashangaa keshalainika na kusahau safari za kupima na kukupa tunda, ila usiache kutumia Ndom tafadhari.

Wengi hata tukiwa salama ni waoga tu kupima na haimaanishi hatujiamini, unaweza ukaukwaa kwa sababu zingine nje ya kufanya mapenzi ambayo si salama.

Karibuni kwa maswali pale ambapo hamjaelewa ili niendelee kufafanua na kutoa mbinu mbadala.
 
Abstinence ndio njia bora kuliko zote. Ukishindwa kuishi pekeyo basi tafuta mtu na mpime. Then kuwa na mpenzi mmoja.
Ukijua afya yako...especially ukiambiwa huna HIV utajiona zaidi ya Bakhressa hapa mjini..
 
Inawezekana sana ukawa wewe mwenyewe ndio unajichimbia shimo... labda anakuambia hivyo uone yeye tayari kumbe anachekecha tu majibu yako.

Afya ni muhimu wandugu.... Ni muhimu sana kujua afya yako mapema... watu wengi wamepata maambukizi kutokana na kuishi kwao kwa mashaka... wanajiona tayari wana maambukizi halafu wanajiachia... kumbe walikua hawana ila walivyojiachia tu ndio wanaukwaa.

Tujitahidi sana kujijua afya zetu.... inakusaidia sana kuichi kwa amani na kwa kujitunza zaidi.

AIDS kills!!!
 
Kumbe ndio maana mie nimefikisha miaka 40 sijaolewa kwasababu ya kuwaambia tukapimeeeee???? kuanzia leo naacha labda nitapata mchumba lol!
 
Kabisa mkuu.... woga na wasiwasi ndio unawafanya wengi waupate maana wanajiona wako in-between.... kiutani utani wanaangukia pabaya hivi hivi.... Ukijijua uko salama ni ticketi ya kuendelea kuwa salama na kujilinda zaidi.

Kupata HIV ni rahisi sana kama kutopata HIV
Abstinence ndio njia bora kuliko zote. Ukishindwa kuishi pekeyo basi tafuta mtu na mpime. Then kuwa na mpenzi mmoja.
Ukijua afya yako...especially ukiambiwa huna HIV utajiona zaidi ya Bakhressa hapa mjini..
 
Kuna haka ka mchezo ka wanawake, eti ukimpiga mistari akaingia line basi anakuambia tukapime, wanaume wengi wamekuwa wakijikwaa wanapokutana na hiki kisiki.

Leo nitawafumbua jinsi ya kuking'oa kirahisi. Kiukweli kupima si jambo jepesi hata kama unajijua upo salama, maana vyanzo vya hili gonjwa ni vingi, watu wengi wameumia kwa kukimbilia tu kupima eti kwa kujiona hajawahi bugi, thubutu, wengi wa namna hii wanakufa mapema wakipewa majibu ambayo siyo.

Leo chukueni huu uzoefu, akikuambia tu tukapime hapo hapo mjini twende muda huu huu, onesha unahitaji sana, wengi wa wanaosemaga tukapime huwa wanabip tu maana mziki wa kupima wanaujua, ukionesha kukubali tena haraka huwa wanaridhika huyu jamaa yupo safi na anajiamini japo wakati mwingine nawe unakuwa na hofu, utashangaa anajibu leo siwezi tutapanga.

Akishajibu tu hivyo jua tayari ushang'oa mzizi.

Ukijifanya kubisha atajua hujiamini na haupo salama. Ikitokea kweli akaitikia wito wa kwenda basi jitahidi ukutane naye na ikiwezekana muanze safari halafu kama hujiamini basi ibua udhuru hapo katikati ili kuikwamisha hiyo safari kwa siku hiyo, halafu jitahidi kumsoma ni wakati gani ukimkomalia anakuwa hawezi kutoka, amini usiamini utashangaa keshalainika na kusahau safari za kupima na kukupa tunda, ila usiache kutumia Ndom tafadhari.

Wengi hata tukiwa salama ni waoga tu kupima na haimaanishi hatujiamini, unaweza ukaukwaa kwa sababu zingine nje ya kufanya mapenzi ambayo si salama.

Karibuni kwa maswali pale ambapo hamjaelewa ili niendelee kufafanua na kutoa mbinu mbadala.

Ahhhha yaan me maadamu mshanipa mbinu tunakomaaa tu tukapime CYBERTEQ upes tuwah angaza tena now
 
Last edited by a moderator:
Hivi kama wewe binafsi hujiamini unawezaje kumuamini mwingine???

Uasherati utakuua kijana!!!

Leo chukueni huu uzoefu, akikuambia tu tukapime hapo hapo mjini twende muda huu huu, onesha unahitaji sana, wengi wa wanaosemaga tukapime huwa wanabip tu maana mziki wa kupima wanaujua, ukionesha kukubali tena haraka huwa wanaridhika huyu jamaa yupo safi na anajiamini japo wakati mwingine nawe unakuwa na hofu, utashangaa anajibu leo siwezi tutapanga.

Akishajibu tu hivyo jua tayari ushang'oa mzizi.

Hivyo tu unag'oa kisiki cha Tukapime kwanza????Aaaah!!kumbe mi nilikuwa sijui na mwisho wa siku unajilia papuchi kiroho safi tu!!100
 
aisee... kwani lazima ung'oe kisiki....! majani yapo!
 
huo sio ujanja, kupima ni kawaida sana, mimi ukinikuta na begi langu ndani kuna vipimo, maji yake na visindano, so akisema hivyo namwambia usijali fasta na baada ya hapo anakuwa huru kukupa game, maana sometime condom mhh. kuna rafiki yangu aliambiwa hivyo akanitafuta, nikampima kabla, kisha wakaja nikawapima wote, du jamaa mpaka leo anapiga ngozi balaa, ila nimewaambia warudi kwangu baada ya miezi mitatu. ila ni huduma yangu binafsi si kwa jamii. acha uoga pima VVU.
 
Ahhhha yaan me maadamu mshanipa mbinu tunakomaaa tu tukapime CYBERTEQ upes tuwah angaza tena now

ngoja nikuibie siri, kwanza kabisa huwa silali kirahisi na mtu nsiyemfahamu, pili huwa sikosi determine ndani kwangu, kwa hiyompaka nikakulale ujue tushazoweana na tushatoboa damu MARA TATU, condom huwa situmii, malaya nina kinyaa nao nikijaribu mashine huwa inagoma kusimama. wanawake wengi hawajali kama mwanamume anayelala naye anavaa kondomu ama lah, ukijumuisha na aina ya wanaume kama mleta mada ambao wanajitahidi kulaghaiana wasitumie condom hatari inaongezeka zaidi, kuna vingi sana vya kuniuwa lakini ukimwi nilishakataa!
 
huo sio ujanja, kupima ni kawaida sana, mimi ukinikuta na begi langu ndani kuna vipimo, maji yake na visindano, so akisema hivyo namwambia usijali fasta na baada ya hapo anakuwa huru kukupa game, maana sometime condom mhh. kuna rafiki yangu aliambiwa hivyo akanitafuta, nikampima kabla, kisha wakaja nikawapima wote, du jamaa mpaka leo anapiga ngozi balaa, ila nimewaambia warudi kwangu baada ya miezi mitatu. ila ni huduma yangu binafsi si kwa jamii. acha uoga pima VVU.

kupima na kupiga hapohapo nayo ni hatari sana, unajihatarisha mkuu!
 
Hivi kama wewe binafsi hujiamini unawezaje kumuamini mwingine???

Uasherati utakuua kijana!!!

mkuu naona umenishambulia mimi badala ya kuishambulia topic husika.
 
Responsibilities for life
HIV and AIDS can beat you change responsibility
 
Back
Top Bottom