Asubuhi ya leo nimeshangaa sana.
Nilikuwana na punje 3 za mahindi nikawarushia kuku wangu 6 (mitetea 5 na jogoo 1).
Nilichoshuhudia ndo kimenifanya niandike huu uzi.
Niliporusha zile punje...
Habari zenu wakuu
Naamin mnaendelea vizuri na Ujenzi wa Taifa
Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwa point, Nina Shost yangu kifupi tunashibana sana ila mwenzangu ni Mke Wa MTU kaolewa miaka 3...
Habarini wadau wote
Natumai mko wazima buheri wa afya na mnaendelea na kazi zenu vyema na wale wanaosoma vilevile
Marafiki zangu imenibidi niongee nanyi haya machache ambayo nimeona mahali...
Utakuta mrembo katoboa zaidi ya matundu matatu sikio moja,au vipini kibao masikioni.
Wengine hereni kubwa kama ringi ya baiskeli.
Toboa sikio tundu moja na kipini kidogo tu inatosha au usitoboe.
Habari zenu wana jamii, poleni na majukumu.
Kuna kitu kinanitatiza ni bora mnisaidie mawazo niwe na amani. Binafsi nina kanuni zangu flani za maisha, na kuna baadhi ya mambo ambayo ni binafsi...
Habari zenu wakuu.
natumai mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kulipeleka mbele gurudumu la Tanzania.
Kuna hiki kitu huwa najiuliza lakini sipati jibu, hivi kwanini wadada ambao wana 30 na...
Hi wanaJF
Naomba ushauri wenu
Girlfriend wangu ambae mwanzo mahusiano yalikuwa kama utani tu lakn kadr sku zlvyo zd kwenda tuljkuta tukpenda kiukwel na tatzo ni kwamba girlfriend wangu kanizidi...
Why you should care
For Ladies, the width of your hips may play a crucial role in your decision to sleep with someone. That's according to scientists at the University of Leeds, who report that a...
Mimi ni kijana,mwenye umri wa miaka 32, mtanashati, muelewa, mwajiriwa wa serikali.
Natafuta mwenza wa kike ambaye atakuwa mke wangu, awe at least Diploma level and above, awe mweupe kiasi...
Nimekutana na hii wana JF nikaona bora niilete kwenu nipate nasaha.
Kuna mdada mmoja nilikua nafahamiana naye kitambo about 8 years ago, aliwahi kuzaa akiwa mdogo(18years)
Wiki iliyopita...
Wapo wengi sana. Hasa hawa wabeijingi, Wenye vidato vyao. Ni material kweli maana wanapenda kuona tu vinavyoelea. Wanapenda kupendwa tu na hawapendi kusemwa.
Ni wagumu kujishusha na wepesi...
Juzi katika pita pita zangu nikakuta binti anamjibu mama mtu mzima eti anasema na yeye ni mtu mzima ana haki ya kulala guest kama mwanamke yeyote.
Nikasimama kwanza nimwone binti, jamani...
Embu tupeane ushauri jamani.
Ndoa nyingi zinateswa na haya mapepo ya spiritual husband wife.
Embu tumrudie Mungu atuokoe kama ujaoa ama olewa sali sana. Mkiwa nje huyaoni ukioa ama kuolewa...
Habari wakuu natumaini hamjambo na ni wazima wote, huyu mwanamke siku nyingi ananisumbua nakumbuka mara ya kwanza tulikutanae supermarket, kwa muonekano alikuwa mrefu shingo kama ya twiga, mnene...
Nilisikiza kipindi cha asubuhi magazetini kwa ufupi magic fm, kuna kibabu cha miaka 70 huko songea kimempiga kwa mchi kichwani mkewe wa miaka 60 mpaka kifo kwa kunyimwa unyumba. Inaonekana huyo...
Huu tuite ni Msimu wa Ndoa siyo! Ingia sehemu zenye mikusanyiko ya watu, ni vikao vya harusi tu! Hapa nilipo naona kuna vikao sita! Na vyoote ni vya harusi.
Hongereni mnaooa na kuolewa, mnakuza...