Pheromone perfumes

Pheromone perfumes

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Nimesoma hii kitu kwenye mtandao, kuna mwenye uelewa wa hii kitu?
 
pheromone ni aina ya kemikali ambayo mwili wa mnyama huwa unaitoa kwa minajili ya kumvutia mnyama mwingine wa jinsia tofauti...ni rahisi kuiona kwa wanyama kama mbwa, ng'ombe n.k

Sasa kuna wataalamu wa mambo ya uturi wametengeneza aina fulani ya uturi ambao mwanamke au mwanaume akiutumia unatoa kemikali ambayo ina trigger matamanio ya ngono kwa jinsia pinzani...
 
Mwenye anafahamu who is the supplier wa uturi hapa tz anijuze staki tabu ya kuongea sana mi nikujipiga uturi the kitu na box
 
Back
Top Bottom