illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Ktk jukwaa hili la mapenzi na Mahusiano hebu niambieni au nifunzeni...
Shanga zilee za kiunoni zinamaana gani?
Mbona baadhi ya wanaume ukivaa anakutimua nazo anakuwa hataki kabisa anakuona km changu.
Ila wengine wanazitaka na wakikuona umevaa shanga mkononi anakuuliza kiutani huku anatabasamu na huko ni hivyo hivyo...akimaanisha anazipenda..
Nashindwa kuwaelewaaa!!