Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Habari za jioni ya leo wadau MMU?
Naomba kushare nanyi.
Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini wazazi au ndugu wengi wa kiume huwa na wivu mkali sana kwa mabinti zao hasa wanapowahisi wana mahusiano na wanaume? Wazazi au ndugu wengi wa kike huwa hawana shida na ukaribu au mahusiano ya mabinti zao na wanaume.
Nakumbuka mimi mwenyewe binafsi nilisha wahi kupigwa sana kwa kukutwa na binti wa mtu chumbani,tena wakati huo mimi nilikuwa mdogo tu na binti naye alikuwa anasoma,kwa ukweli sikuelewa kwa nini wale wazazi na ndugu wa yule binti walinipiga na kunisachi na kuchukua pesa zangu ukizingatia nilikuwa sina hata uwezo wa kumpa binti yao mimba.
Ni miaka mingi sana imepita tangu tukio hilo lakini mpaka leo huwa najiuliza hivi huu wivu na roho mbaya kwa ndugu au wazazi wa jinsi ya kiume wanakuta uhusiano au ukaribu na mabinti zao na wanaume, huwa unasababishwa na nini?
Naomba michango yenu waheshimiwa wajumbe.