Hellow,kuna taharifa nimezipa kua kuna kampuni kadhaa zimeomba kuingiza vifaa mbalimbali za kuliwaza kuchukua nafasi ya wenza kwa wasiokua nao.
Machine izo ni kubwa zenye shepu mbalimbali za...
Kuna mtu kaongea kuhusu limbwata akanikumbusha.
Leo wanaume siku yenu hivi nyie wanaume mliooa wenye michepuko?
Na tena isitoshe kuwa na mchepuko ukawa unaiba iba tuu basi wewe unamuweka kabisa...
Habari zenu wana MMU
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilikutana na mwanamke mmoja katika moja ya mitandao ya kijamii.
Baada ya kubadilishana namba tukaanza mawasiliano ya mara kwa mara na...
Ilikuwa ijumaa ambayo tulidhamiria kuspend na marafiki na familia. Jioni baada ya kazi, nafika eneo la tukio kwa wengi kila mtu yuko na mkewe (Moja). Nakumbuka kumpigia wife simu.
Akaniambia...
Uchumba ni hatua ambayo kijana (mvulana au msichana) anapitia akiwa na matarajio ya kuoana. Unapo tafuta mchumba hizi ni sifa muhimu sana:-
1. Dini (Awe mtu mwenye imani juu ya Mungu hii utaona...
Katika mapenzi
Kila mtu anapendwa kuhongwa na Mpenzi wake haijalishi ni Mwanaume au Mwanamke,
Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba wahongaji wakike ni wachache kuliko wanaume,
Ukipata...
Ni makosa ngani? hasa yanatufanya tuachane na
Wanadoa wetu.,
Wachumba,
Maarafiki,
Na watu wengine wa karibu na sisi.
Kwa sababu katika Maisha ya Mwanadamu huwanga haikosekani...
Hodi humu jamani!jaman hodi sana!nimejitokeza humu nikiamin kuwa jamii forum itanitimizia malengo,mim ni mwanaume mwenye miaka 26 ,ni mrf wastani,maji ya kunde,na mtanashati,nipo single na sijawah...
Heheya!! Michepuo Imezidi Sana.
Kwa Wanaume Wengi Huwa Wanatamani Kuwa Na WanaWake Wengi Kwa Sababu Ya Kuangalia Maumbile Yao Kama Vile Sehemu Za Makalioni Na Kufurahishwa Na Jinsi Wanavyotembea...
Habari zenu wana Jamii forum nimekutana na hili sakata isue iko kama ifuatavyo
Kuna msichana hapa mtaani jina na muhifadhi ni mzuri kisura hata kiumbo nilikutana nae uswahili mara ya kwanza...
hellow wana Jf..
leo nikiwa kwenye Pharmacy flan hivi hapa jijini dsm, nime wakuta kina mama wakipiga stors,
baada ya mda kidogo akaja Mwanaume akiwa na Mwanamke
waka nunuwa condom na...
Sababu zifuatazo zinatetea hoja hiyo;
1.
Moja ya tofauti kubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke katika dini, ni kuwa Mwanamke humwona Mungu kama mtu anaemwamini, humwelekea Mungu kwa moyo wake...
Nilikua na mchumba wangu anasoma chuo fulan bagamoyo,kiukweli tulipendana sana.Tangu akiwa mwaka wa kwanza nilimsadia sana mahitaji ya chuo kwa sababu pesa alikua anapewa na babake ilikua ndogo...
Ukiona mpenzi wako from nowhere (yani haikuwa mazoea yake) ameanza tu kutupia tupia vipicha vyako na au vimaneno vya kukusifu sana kwenye mitandao (including jf), jua ni cover up...
Unaibiwa...
Wakuu,
Heshima nyingi kwenu.
Naomba mnisaidie, Nina hamu sana ya Mafanikio katika Maisha yangu, lakin hata sijui nianzie wapi, Nina Elimu ya chuo, masuala ya Procurement, Nina fanya kazi Ofisi...
Kuna thread iliwahi kuwekwa hapa namna ya kujua kama mpenzi wako anakucheat.
Nilifuatilia namna ilivyochangiwa na watu wengi walitoa michango yao kwa namna wanavyofahamu, uamuzi niliochukua ni...
Nilifanikiwa kuoa miaka kumi iliyopita na katika maisha yetu ya wawili tumefanikiwa kupata watoto watatu, wote wa kiume.
Migogoro katika maisha yetu ilianza mara baada ya kuanza kuishi pamoja...
Ni mtoto wa shangazi yangu, ni mzuri kweli kweli, nikisema mzuri naomba muelewe hivyo sintoweza kuanza kutoa sifa hapa mara ana shingo ya nini sijui macho yamekaaje mara hivi mara vile, eleweni tu...
Kuna video u-tube shekhe anaongea kuhusu ndoa na namna mwanaume anavyotakiwa kua na kumthamini na kumpenda mke wake..its very useful..n..ina somo zuri mnohttp://youtu.be/IbV2Km53Qlw
Unawapa somo gani wadada waliobakiwa na magari ya kuhongwa, Simu za gharama za kuhongwa, majumba ya kuhongwa huku wakiyakosa Mapenzi?
Hakuna kitu kinachoumiza moyo kama mapenzi hata kama...