"nnachotaka ulimwengu mzima wajue nimezimika"
Ukiona mpenzi wako from nowhere (yani haikuwa mazoea yake) ameanza tu kutupia tupia vipicha vyako na au vimaneno vya kukusifu sana kwenye mitandao (including jf), jua ni cover up...
Unaibiwa somewhere.
This is a formula. Haibishaniki...
Hahahahah....hapana mkuu ukiona hivyo ujue amekuwa 'moo komitedi'