illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Kuna mtu kaongea kuhusu limbwata akanikumbusha.
Leo wanaume siku yenu hivi nyie wanaume mliooa wenye michepuko?
Na tena isitoshe kuwa na mchepuko ukawa unaiba iba tuu basi wewe unamuweka kabisa kama mkeo nyumba unamnunulia au kumpangia hivi unawaza nini hasa wewe? Wakati mwingine hata familia inakosa chakula hela zinaishilia nje.
Huna hata staha wewe? Huogopi laana ya watoto na kiapo ulichoweka kanisani au msikitini.
Kwanza kwa taarifa yenu.
Michepuko inakupenda ukiwa nazo na ukiwa unatoa usipo kuwa nazo haikutambui.
Pili usiwe na hela halafu siku upate tatizo usiwe na kazi muda mrefu uone kama utakuthamini, utarudi kwa mkeo.
Unaangaika huko njeee, mwenyekuja kukushughulikia ukiumwa ni mkeo.
Mwenyekukulelea watoto wako mkeo..kwanini usimthamini huyu mkeo, familia kwanza hata kama unamchepuko usiuthamini kama unavyothamini familia yako.
Utakuta mke hana gari ila utamnunulia mchepuko gari.
Huyu huyu mchepuko utakuta anakuchunaaa kumbe ana kidume chake pembeni ambacho wanajiandaa ndio kuja kuoana anakuja faidi mwingine.
Halafu michepuko mingine inatumia Limbwata.
Wewe utakuta unatesa familia, unaisahau familia kabisa hata kupelekea kumpiga mkeo, kumtukana mkeo kisa mchepuko, siku ya siku unarudi kwa mkeo huna hata senti mfukoni, umefulia km mbwa pori.
Jamani hivi nyinyi hamuoni mifano?
Wanaume wengine walivyobwege wataruhusu mchepuko kupiga simu hata usiku akiwa amelala na mkewe.
Kumtukana mkewe.
Kwanini msiwafunze kuwa uwapo nyumbani asipige simu?
Waheshimuni wake zenu