Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
Nilikua na mchumba wangu anasoma chuo fulan bagamoyo,kiukweli tulipendana sana.Tangu akiwa mwaka wa kwanza nilimsadia sana mahitaji ya chuo kwa sababu pesa alikua anapewa na babake ilikua ndogo sana.
Tulipanga akimaliza tu chuo nikajitbulishe kwao na taratibu za ndoa zianze.
Cha ajabu baada ya kumaliza chuo yaani siku ileile ya mahafali akaanza SMS ajibu simu anapokea anapojisikia,nikimwita anadai amebanwa ndugu zake wamekua wengi sasahivi hapa Dar.
Niko njia panda sijui amepatwa nini mpenzi wangu.
Nisaidieni inawezekana ana nini huyu?