"Wanaume nao, wanapenda kuhongwa"

"Wanaume nao, wanapenda kuhongwa"

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Katika mapenzi

Kila mtu anapendwa kuhongwa na Mpenzi wake haijalishi ni Mwanaume au Mwanamke,

Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba wahongaji wakike ni wachache kuliko wanaume,

Ukipata mwanamke anayekupa hela, mwanaume huwanga tunafulahi sana, tunapopewa hela na wapenzi wetu wa kike.

"SIYO WANAWAKE TU WANAOPENDA KUHONGWA"
 
Kwa hiyo na wewe unapenda kuhongwa....??? Mhnn
 
taratibu za kabila letu ni fedheha na dharu kubwa kwa mwanaume kuhongwa na mwanamke hasa kama hujui kuwa hicho anachokuhonga amekipataje.
 
Mwanamke mwenye kazi halali kama mwanaume una tatizo hakuna ubaya akikusaidia na natumaini hii haiwezi kuwa request ya mara kwa mara. Na hii si kuhongwa hii inaitwa hook up.

Nalisema hili kwa uzoefu wangu kwa sisi ambao tumejiajiri hatutegemei mwisho wa mwezi kuna wakati pesa nyingi zinakuwa nje na kuzikusanya kalenda nyingi tu na dawa ya mbu.
 
Ungesema zawadi...kila mwanaume anapenda kama binadamu kwani ni sign ya ku care...ila kuhongwa sounds too womanish/ girlish...

Kusaidiana kumo lakini kama mahusiano yanaeleweka...mfano mke na mume...ila hawa wanaotaka msaada from no where jichunguze usije kuwa unatumika...ukaja lia oooh tulijenga wote ile nyumba afu kaoa mwingie as if kulikuwa na contract...
 
Mwanamke mwenye kazi halali kama mwanaume una tatizo hakuna ubaya akikusaidia na natumaini hii haiwezi kuwa request ya mara kwa mara. Na hii si kuhongwa hii inaitwa hook up.

Nalisema hili kwa uzoefu wangu kwa sisi ambao tumejiajiri hatutegemei mwisho wa mwezi kuna wakati pesa nyingi zinakuwa nje na kuzikusanya kalenda nyingi tu na dawa ya mbu.

Ha ha aaaaa acha tu maisha haya!!!!!
Sasa ukiwa na "mwanamke" hapa unakuwa na amani, ila kama umeoa "demu" dunia inakaa utosini
 
Acha tu mkuu unaweza kudai malipo ofisi fulani ukaoneshwa mpaka cheque list ukaona mambo yamejipa kumbe unaweza kupita bank mpaka wiki 3 account haijaingizwa kitu. Hapo kama una "demu" ni mtihani.
 
taratibu za kabila letu ni fedheha na dharu kubwa kwa mwanaume kuhongwa na mwanamke hasa kama hujui kuwa hicho anachokuhonga amekipataje.

Kwa hiyo mwanamke akikuhonga unakataa?
 
Kama hauko comfortable to give usijilazimishe...watu wengi wanaumia baada ya kuona they gave a lot...na hakuna walichopata..
 
Vipi kuhongwa na wanaume wenzenu nako mnapenda?
 
Ukipata mwanamke anayekupa hela, mwanaume huwanga tunafulahi sana, tunapopewa hela na wapenzi wetu wa kike.

Kama wapewa hela na mpenzi wako waanzaje kuita hela hiyo ni hongo?

Kuna jambo gani analokushawishi umfanyie hadi akulainishe kwa kukupa hela?
 
Nadhani kuna tofauti ya kuhonga na ku-care. Watu wengi wamejijengea dhana kwamba mwanaume ndo anatakiwa kutoa tu vizawadi, kumbe sio. Hapo ndo inakuja tofauti ya mwanaume na mvulana au mwanamke na demu. Mahusiano yaliyochanua yanaangalia ku-share pande zote sio kila siku wewe kupokea tu.

Na nzuri zaidi sio monetary terms.
 
Katika mapenzi

Kila mtu anapendwa kuhongwa na Mpenzi wake haijalishi ni Mwanaume au Mwanamke,

Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba wahongaji wakike ni wachache kuliko wanaume,

Ukipata mwanamke anayekupa hela, mwanaume huwanga tunafulahi sana, tunapopewa hela na wapenzi wetu wa kike.

"SIYO WANAWAKE TU WANAOPENDA KUHONGWA"

God 4bid nitamuhonga mwanaume nguo perfume etc na si hera mkononi.afu iyo hera ninayonunulia ivo vitu kumbuka anakuwa amenipa mwenyeweeeee.
 
Back
Top Bottom