Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,252
- 3,074
Habari zenu wana Jamii forum nimekutana na hili sakata isue iko kama ifuatavyo
Kuna msichana hapa mtaani jina na muhifadhi ni mzuri kisura hata kiumbo nilikutana nae uswahili mara ya kwanza kwenye vibanda hivi vya wakala wa mitandao tigo pesa via voda pesa tulisalimiana na akanichangamkia vibaya.
Sasa huyu demu ikawa nikirudi katika mihangaingo yangu jioni lazima tupishane mtaani itokezee tuu nisimuone huwa akiniona ananishangaa sana na kunitolea macho mpaka ananipindia na shingo mwanzo nikaona kawaida ila sku zinavoenda mwisho nikamzoea na tabia yake. Mbaya zaidi huwa namkuta na marafiki zake sjui ndugu zake ila hunishangaa mpaka hueka tama.
Kwa vile yuko kitaa nikapata data zake ni mtoto wa chuo kiko likizo time yupo kwa shangazi yake nikamua kumpotezea sasa kila sku znavoenda ikawa ndo ivo ivo na na lugha zake za macho.
Kuna siku tukavabana dukani yuko na marafiiki zake nafkiri nikamsalimia sasa mm nanunua vitu dukani wao wakonyuma wananiteta nilipo maliza nikaondoka ila nikimtazama na muhisi anakitu anataka kusema kitu.
Last week hapa wakati naelekea town nikakutana nae kwenye bas la uda kuniona tu wakati napanda bas akanambia njoo ukae hapa yaani nikae siti nae moja kabla ya hata kunisalimia nikawa namuuliza maswali yaan full kunitegaaa nikawa najiuliza huyu ananini mpaka nikaelewa huyu ananitaka mm sina haraka nae nikamuomba number ya simu bahat mbaya akashuka njiani. Niliporudi home jioni nikampigia simu kumjulia hali.
Tukawa tunachat sasa Whatsap mambo yakawaida sasa mm skumdoea nikawa nataka nimjue lengo lake nini cha kushangaza hata siku tatu hazijafika ameniblock whatsap, nampigia simu hapokei wakati nili plan nimzoee nimuapproach nimdooee kipindi cha kati jioni narud katika kibarua nikapitia dukani nikamkuta na shangazi yake ananishangaa na macho ya wizi yaani mpaka naondoka ananiangalia mpaka yule shangazi yake anamshangaa.
Sku zote kila nikimtafuta kwa simu simpati nikaona acha nipotezee labda katanapigia ila jana nikakutana na shoga ake mmoja au itakuwa ndugu yake kituo cha basi namuulizia shoga ako ajambo amenambia ameondoka leo kaenda Arusha kaenda malizia Likizo huko kwa wazee wake yaani ndo kwao.
Hivi huyu demu anamaaniisha nini maana nilitaka nipange nae promis nimdoee amenikatia na mawasiliano ghafla au nimemtafisri vibaya.