Kuwa na wapenzi wawili ni kama gari kuwa na tairi la akiba, ni vyema na inakubalika.
Wanawake wanatulia sana wakiwa kwenye mahusiano hasa pale wanapotambua wapo kwenye competition.
Somo la leo...
I'd say i'm a pretty handsome guy, and girls tell me so so i have no reason to argue, but I did notice that it only started later in my life, i guess i matured well idk.
Plus i work out more...
Mapenzi yanahitaji ukaribu sana ili yastawi hata kama mnapendana, usijidanganye sana ni mapenzi ya mbalimbali baina ya wewe ma mwenzi wako unauziwa mbuzi kwenye gunia ni nadra sana kuwepo na...
Salamu wana Jamiiforums
Kunawakati nakumbuka tulikuwa kwenye mafundisho ya mahusiano. Ningependa nishirikiane na ninyi mafundisho ambayo yamebaki kwenye akili yangu kila siku.
Ilikuwa mwaka 2004...
Je unajua chemikali zinazotolewa na wanaume huchochewa na hormone phéromone. Chemicals hizi huhisiwa na mwanamke katika subconcious mind(bila kujitambua kilichomwathiri) -brain limbic systèm; hapo...
Nina miaka 45,nina nia thabiti na ya kweli kabisa,nipo hapa natafuta mke ambae yupo tayari kufunga ndoa.Sina ubaguzi wowote,mwanamke ninaemuitaji awe na dhamira ya kweli kufunga ndoa na si...
Imekuwa ni kawaida wazee kuchukia watoto wao wa kike kugegedwa, lakini siku binti anaolewa wazazi huruka ruka na kusherehekea lakini kwa uhalisia ni kwamba binti yule anaenda kuanza maisha ya...
Nianze kwa kukiri kwamba sina nia ya kuhukumu manake hakuna msafi kati yetu. Lakini pia napenda tu niseme hili ili kama kuna aliyekusudiwa kupona basi apone.
Kuna hizi famila ambazo siku hizi...
Habari wana jamvi?
Jamani nimekuja walau nipate ushauri akili yangu itulie.
Shemeji yenu baada ya kula msoto wa muda mrefu bila ya kibarua, hatimaye siku ya nne leo ameanza kibarua, hakika...
Sababu:
1. Hutapata heshima utakayo hitaji kama mwanaume ndani ya nyumba. (Ila kuna wanawake wengine wanaheshima na unyenyekevu hata kama ameolewa na age mate)
2. Wanawake wanazeeka haraka sana...
Wana JF leo nimejaribu kupekuwa simu ya mke wangu ambayo huwa siko huru nayo ukizingatia huificha kibindoni kila dakika, leo alipotea timing hivyo aliiwacha katika kochi sebuleni, kilicho nishtua...
uwe msichana ama mvulana jua unayo mapungufu kadhaa hata Huo uzuri wako pia una mapungufu.
cha ajabu siku zote kila mtu anataka perfect love ijapokuwa yeye si perfect.
anataka perfect...
Wakati wa kusex utamjuaje mpenz wako kama hajafanya mapenz cku nying? Naomben mnisaidie kwa men ana sign gan na
mwanamke ana sign gan? Hii itasaidia kuwa gundua wapenz waco waaminifu
Kuna habari nimezisikia ,watu haswa wanawake huweza tumia ushirikina na kumpotezea kabisa mwanaume nguvu ya kugegeda ,akabaki mwanaume suruali. Kwa nia ya kumkomoa asipowakubali au kuwaacha,au...
si ajabu sana kwa wanaume wengi kuwa wamewahi kukutana na dhahama ya Internet wasichana ya kujifanya wasahaulifu hasa pale unapomuuliza kuhusu ahadi yake hasa katika kipindi cha kutongozana...
KUNA NDOA NYINGI ZINAVUNJIKA watu wakiwa wameshazaa watoto. nimesikitishwa sana na kitendo cha kesi iliyotokea mahakama ya wilaya mbeya, inayomhusu mwanaume aliyefungwa jela miaka 30 kwa kufanya...
Habarini?
Utu uzima dawa, naomba kuongea na nyie watu wazima ambao pengine mmeoa na kuolewa au mnaishi Kama mume na mke bila ndoa!
Kutokana na malalamiko meengi ya wanandoa na kuvunjika kwa...
Habari wanajukwaa,
Leo tutazungumzia madhara ya kutuma picha za ndani kwa mtu wa karibu/ mpenzi ambazo wahusika hawangependelea zionekane kwa jamii na mara nyingine kusababisha unyanyasaji...
Habareee!
Jamaa yangu amekuwa na msiba mzito sana maishani mwake
Truly ameniomba ushauri juu ya tatizo lake kuwa hajawahi kumwaga manii au mbegu au shahawa toka aanze kufanya mapenzi na...