Kuibiwa nguvu za kiume

Kuibiwa nguvu za kiume

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
132
Kuna habari nimezisikia ,watu haswa wanawake huweza tumia ushirikina na kumpotezea kabisa mwanaume nguvu ya kugegeda ,akabaki mwanaume suruali. Kwa nia ya kumkomoa asipowakubali au kuwaacha,au kumzuia asitembee nje,lakini akirudi kwake ngoma inatinga mzigoni. Hii ina ukweli gani?
 
hahahaha ngoja wataLam wje wamwage data tusikilize
 
naona .. Bateregeza huyooooo anataka tupa vituz
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi sikia wanatumia mti unaonesanesa,wakisha ufunga umepatikana,ila wakifungua umesepa. Bahati mbaya mbeba kuni akaukata basi wewe ushakuwa paroko
 
naona .. Bateregeza huyooooo anataka tupa vituz

Mrangi umenikata stim. Ila ungetembelea Usoke Tabora ungeonyeshwa na mti unaotumika. Au Kiteto. Kuna dawa ya nuksi unatupiwa kule Kiteto yaani hata mbwa hawezi kukunusa eti anakuona kinyaa. Ukimkosea mwanamke wa huko na akafanya kweli imekula kwako. hata changu wa Kimboka atakutolea sababu.
 
Last edited by a moderator:
Umezisikia kutoka wapi?

Mimi tena ? Nimesikia au nimeona. Mimi nimekaa mikoa kumi na tatu Tz. na ninafahamu tabia za ssehemu nyingi. Wewe nifunge kitambaa cha uso. nifungie chumbani. niletee wanawake kutoka sehemu mbali mbali Tz. kama utaleta kkumi halafu wasoongee kitu wakitoka nitakuambia kwa asilimia sabini kila mmoja anatokea mkoa gani.
 
Aisee..Ni ukweli kabisa.. Sio stori.. Kinachofanyika hapo ni ukiwa na dem wako dushe inapiga kazi kama kawaida.. Ukienda kwa mchepuko dushe haiendi mnara... Sio stori.. Ni kweli kabisa, hasa dem wako akiwa na elements za ushirikina... Narudia tena.. hiyo kitu ni kweli.. Ni kweli kabisa..
 
Hahahahha iyo mambo nasikiaga ipo,ila kuna nyingine huwa wanaume wanafany kwa wake zao kuna kabila moja ivi wao wanatumia kisu, mwanaume anaweza kukuambia na safiri then anakua anakisu ile amekuaga kua anasafiri ametoka nje anajifanya kasahau kaondoka na kisu anamwita mke wake mama flani njoo niwekee hichi kisu changu ndani sehemu flani hahahahah mwanamke ukikishika tu umeharibu kile kisu kinakua dawa mwanamke akichepuka tu anagandiana mpaka mume arudi hahahahahaha
 
Hahahahahah mkuu u made my day aseee, itakuwaje ikija DSM n shidaaaaaaaa!!!
 
Wanawake wengine huwa wanafanya dawa kiasi kwamba mwanaume ukijaribu kuchepuka tu, mashine na korodani vyote vinapotea na hapo mahali panakuwa flatiiiii....
 
Wanawake wengine huwa wanafanya dawa kiasi kwamba mwanaume ukijaribu kuchepuka tu, mashine na korodani vyote vinapotea na hapo mabahli panakuwa flatiiiii....

hee heee sipati picha. unajikuta uko flat utapigaje ukunga
 
kuna mkenya mmoja imemkuta hii..mwenyewe alikua anazitafta sehemu zake hazipo
Wanawake wengine huwa wanafanya dawa kiasi kwamba mwanaume ukijaribu kuchepuka tu, mashine na korodani vyote vinapotea na hapo mabahli panakuwa flatiiiii....
 
Back
Top Bottom