HASARA ZA KUACHANA katika ndoa ni hizi hapa

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Posts
1,749
Reaction score
1,312
KUNA NDOA NYINGI ZINAVUNJIKA watu wakiwa wameshazaa watoto. nimesikitishwa sana na kitendo cha kesi iliyotokea mahakama ya wilaya mbeya, inayomhusu mwanaume aliyefungwa jela miaka 30 kwa kufanya mapenzi na binti yake wa kumzaa kwa kipindi cha miaka 4 na kumzalisha mtoto. binti mwenyewe ana miaka kama 15 kama sikosei kwa sasa, na ameonekana akiwa amebeba mtoto aliyezalishwa na baba yake mzazi. kwenye picha mama yake ameonekana pia akiwa na huyo binti, mama ambaye aliachana na mumewe (baba ya huyo binti) binti akabaki akikua na kuishi na baba bila mama.

nimejiuliza sana, nikaona kuwa, pamoja na kwamba inaweza kufika kipindi wanandoa wakashindwana, kama wameshazaa watoto, custody ya watoto popote pale watakapoenda, maisha yao hayawezi kuwa bora kuliko maisha ambayo wangeishi wakilelewa na pande zote mbili kwa pamoja. watoto wote ambao wamekuwa huku wazazi wao wakiwa wameachana kwenye ndoa, wameathirika kwa namna moja ama nyingine. kama upo kwenye ndoa, angalia usichukue maamuzi ya haraka ambayo yanaweza kuwaathiri watoto wako.

hebu tushee ushauri jamani, jambo hili ni baya sana.
 
this is an exceptional case and is not indicative of the majority of divorce cases.

hapo red sio kweli always
 
kwenye kitabu hiki kuna ufafanuzi wa namna ya kutunza watoto wa kambo, haki kati ya mme na mke na matatizo mengine mengi kama hayo.
hili suala hata likienda kisheria mpaka wapi haliwezi kuwaondolea psychological damage watoto. Kuna kitu kimoja kigumu sana nacho ni kuishi na mtu mwingine yaani mke au mme ambaye hapo awali hamkujuana. Kushinda hii changamoto ni kukubali utakatifu wa ndoa na kuziheshimu ambapo ni ngumu kiuhalisia, ukifanikiwa kwa hilo watoto nao wanakuwa na uwezekano wa kupata mafanikio ya kweli na sio yale yatokanayo na uuza madawa ya kulevya na rushwa!

View attachment 105060View attachment 105060

kwenye kitabu hiki kuna ufafanuzi wa namna ya kutunza watoto wa kambo, haki kati ya mme na mke na matatizo mengine mengi kama hayo.

Hizi ni mbunu za shaitwan, hakuna mpango wowote ktk historia juu ya malezo ya watoto wa kando;maPepo ndio yanafanya watu waachane ba hayo mapepo ndio yanafanya watu wandike vitabu vya kimapepo kama hicho
 
Sometimes kuna point of no return.
Kuna mambo yanafikia ukomo katika kuyavumilia, pengine mwanandoa akilazimisha kuyavumilia matokeo yake huwa mabaya zaidi na maisha ya watoto yaweza kuwa mabaya zaidi kuliko kama wanandoa wange divorce.
There is no formular here.
You can't force kuishi na mtu ambaye mmeshindwana just kwa kuhofia watoto.
 
Kusema kweli madhara huwa wanapata watoto asilimia kubwa ya watoto walioishi na wazazi tofauti tofauti maisha yao yanakuwa sio mazuri.
Si semi wote ila % kubwa.
Psychological effect na inakuwa ngumu sana kuiondoa ndani ya watoto.

Ila wakati mwingine wanandoa maji yanafika shingoni.
 
Sometimes kuna point of no return.
Kuna mambo yanafikia ukomo katika kuyavumilia, pengine mwanandoa akilazimisha kuyavumilia matokeo yake huwa mabaya zaidi na maisha ya watoto yaweza kuwa mabaya zaidi kuliko kama wanandoa wange divorce.
There is no formular here.
You can't force kuishi na mtu ambaye mmeshindwana just kwa kuhofia watoto.
uko sahihi mkuu Ndibalema japo unaangalia zaidi point ya 'yatokanayo'. Wanaoongelea ndoa wanasema ni taasisi takatifu kwa maana hiyo uingiaji wa hiyo taasisi unahitaji maandalizi ambapo wengi tunadhani ni maandalizi ya mali huku tukisahau kuwa mali inachukua sehemu ndogo sana (japo ni muhimu) lakini maandalizi ya kiakili ndio msingi mkubwa wa ndoa.
Mfano wa kweli ni kijana mmoja ana miaka haifiki hata 25 kakutana na mwanamke (sijui bar) wakapendana, hakufuatilia hata background yake sasa juzi juzi anasema eti huyo mwanamke wamekorofishana na moja ya points ni kuwa alishaolewa na wanaume kama watano (5) na amezaa nao na yeye alikuwa wa sita!!
Hivi kwa akili ya kawaida mtu kama huyu anaweza kukushawishi juu ya umuhimu wa ndoa au akalaumu kuwa 'ndoa siku hizi zina matatizo'!??

pointi ndizo; ila ikifikia muda usifungwe sana na mambo ambayo pengine unaweza kuyasimamia hata ukiwa nje ya huo uhusiano; kuna mambo ambayo kuyavumilia waweza kupoteza hata uhai na ukashindwa hata kusimamia watoto wako, kiasi kwamba angalau tu hata ukiwa pembeni waweza kukaa nao ama kuendelea kuwasaidia kulingana na mazingira yaliyopo kwa maana ya umri wa watoto ama hukumu ya mahakama kama imetumika
 
KUNA NDOA NYINGI ZINAVUNJIKA watu wakiwa wameshazaa watoto. nimesikitishwa sana na kitendo cha kesi iliyotokea mahakama ya wilaya mbeya, inayomhusu mwanaume aliyefungwa jela miaka 30 kwa kufanya mapenzi na binti yake wa kumzaa kwa kipindi cha miaka 4 na kumzalisha mtoto. binti mwenyewe ana miaka kama 15 kama sikosei kwa sasa, na ameonekana akiwa amebeba mtoto aliyezalishwa na baba yake mzazi. kwenye picha mama yake ameonekana pia akiwa na huyo binti, mama ambaye aliachana na mumewe (baba ya huyo binti) binti akabaki akikua na kuishi na baba bila mama.

nimejiuliza sana, nikaona kuwa, pamoja na kwamba inaweza kufika kipindi wanandoa wakashindwana, kama wameshazaa watoto, custody ya watoto popote pale watakapoenda, maisha yao hayawezi kuwa bora kuliko maisha ambayo wangeishi wakilelewa na pande zote mbili kwa pamoja. watoto wote ambao wamekuwa huku wazazi wao wakiwa wameachana kwenye ndoa, wameathirika kwa namna moja ama nyingine. kama upo kwenye ndoa, angalia usichukue maamuzi ya haraka ambayo yanaweza kuwaathiri watoto wako.

hebu tushee ushauri jamani, jambo hili ni baya sana.

Research zangu nilizowahi fanya zisizo rasmi zote zimeonesha kuwa divorce has had much more impacts to the children than it did to the parents themselves. Psychological damage caused by divorce goes a long way to be treated and heal.
Social well-being of the children becomes destroyed. There are many more effects in this social dilemma all of which is no good to the children.
 
yaani hakuna soln zaidi ya Mungu!...mapepo(spirtual wife n husband)ndo chanzo kikubwa cha watu kuachana!
So,jamani...ni vizuri kuomba bila hivyo nothing we can do,watt wataendelea kuathirika na watu wataendelea kulea hao wanaowaita watt wa kambo, na mateso yataendelea .

.....hyo habari niliisikia redioni, lkn walivyokuwa wakielezea unaona kabisa sio hali ya kawaida bt kuna nguvu za giza ndani yake
 
Sometimes kuna point of no return.
Kuna mambo yanafikia ukomo katika kuyavumilia, pengine mwanandoa akilazimisha kuyavumilia matokeo yake huwa mabaya zaidi na maisha ya watoto yaweza kuwa mabaya zaidi kuliko kama wanandoa wange divorce.
There is no formular here.
You can't force kuishi na mtu ambaye mmeshindwana just kwa kuhofia watoto.
Uko sahihi,hapo kwenye point of no return,kwani madhara ya kuvumilia yanaweza kuwa ni mabaya na hata kuweza kuwasababishia mateso,maradhi au hata kifo.
 
asante sana, na tukija kwenye point ya huyu baba, huyu baba ni ulafi wake tu umemponza, hakuna cha ndoa kusambaratika ipelekee aliyoyafanya, hakuna kabisa! huyu baba ni mshenzi wa tabia kabisa.
 
Uko sahihi,hapo kwenye point of no return,kwani madhara ya kuvumilia yanaweza kuwa ni mabaya na hata kuweza kuwasababishia mateso,maradhi au hata kifo.

kwenye maumiv had kifo hapo ndpo kunapatikana neno mwil m1 akuna raha milee lazma shda iwepo.bg up.
 
Unajua kuna thread mnaandka lakini mnasababisha machozi kwa wenzenu....duh machoz yangu?!!!

mama kule
baba kule

Nalazmika kuwa mnafiki ili m1 asione cmjal haya maisha yasimulieni tu,bt kuna meng ndan ya nafsi yangu..

Pengne mung alijua kama ntapita hapa bt nipo na hang sana!!!

Naweza andka meng,matokeo yake itakuwa machoz tu, plz msiachane mnatu destruct sana watt!!! may be kuna siku nitasema zaid!!!

My HERO is MUMY
 
Umenifanya nijickie vibaya!
...ndo maana wanaume ambao wana watt huwa nawashauri waoe watu waliozaa nao jamani, coz unapompa m2 mwingine alee mtt sio vzr coz tunatofautiana
 
Yani we acha may be Mungu anajua afanyayo bt, nilipopita najua mwenyewe!!! kuna muda naogopa hata kuwa na mke au mtoto harakaharaka nimepita lakn ctamani mtu mwingne hasa wanangu wapitie huku maana!!!!!

Kuandka sana naogopa wana jf!!!!

My MUMY be BLESSED
 
Kuandka sana naogopa wana jf!!!!, Probably mama yang angeweza nitupa bt alivmilia!!!! pia mungu amefanya awezalo nipo na baba kwa sasa

My MUMY be BLESSED
 
Kwa kweli suala la kuvunjika kwa ndoa,lina madhara sana kwa watoto,hata wakikaa mbinguni......!!!mie personally ni mhanga wa hili......!!!ni mbaya sana......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom