Habari zenu mabibi na mabwana nimekuja hapa kuomba maoni yenu ndugu zangu mimi ni msichana.
Kuna mkaka alikuwa ananipenda sana kimapenzi sema mimi sikuwa nimempenda, ikapelekea mutomkubali kijana...
Kuna demu 1 nilikuwa naye chuo, juzi nimekutana naye akaniambia kuwa tarehe 7 mwezi huu ni Birthday yake. Akaniomba nimnunulie zawadi, nikamuuliza zawadi gani utataka? Akaniambia zawadi yoyote...
Mimi ni mvula nina 23yrs. Nina Girlfriend wangu umri 18 yrs. Na tunapendana sana kiasi cha kuwa na matarajio ya kuona endapo mungu atatujaalia. Tatzo lilipo ni wakati tunapokutana na kula tunda...
Je ni kweli wazee wa kike wanaweza wakakudondokea na wana uzoefu mkubwa wa majambozi kuliko saa sita?
Kama wewe kakufuata na anakuhitaji kimatendo na anakuangushia maneno kukwambia kwambia...
Tulifunga ndoa ya kiserikali mwaka mmoja uliopita.
Mwenzangu yuko mkoa mwingine mimi niko mkoa mwingine.Sasa mwenzangu hataki kuacha kazi ili aje tukae pamoja. Ingawa mwanzoni alikubali kuwa...
Mama wa rafiki yangu wa kufa na kuzikana amefariki wapendwa. Ni my childhood best friend ambae siwezi kuelezea urafiki wetu kwa maandishi.
Yani huyu mkaka ambae mama ake amefariki tulipendana...
Qualities that a man looks for in a woman
1. Truthful
2. Intelligent
3. Gentle
4. Humble
5. Tolerant
6. Polite
7. Understanding
8. Sexy
9. Smart
10. Youthful
11. _______
Put all the first...
Habari zenu wana JF.
Poleni na mihangaiko ya wiki nzima na leo hatimaye mmerejea kulijenga taifa. Jamani nimejitokeza leo kuwaeleza true story ya maisha yangu na kama kuna ushauri basi...
Nina mke wangu ambaye tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, kwa muda wote huo alikua hajawahi kupata ujauzito.
Nilipata safari ya kwenda nyumbani Tanga, niliporudi nikapewa taarifa kuwa mke...
Wanajumuiya salaam
Mie ODM wa wajukuu nimepitia sredi moja nikakutana na malumbano ya "who comes first" linapokuja swala la nani zaidi kati ya watoto Vs Mke/mme kwenye familia. Yaani who comes...
WHEN A GUY SAYS HE MISSES YOU'
Message: When a guy calls u
he wants to be with you
When a guy is quiet,
He's listening to you...
When a guy is not arguing,
He realizes he's wrong
When a guy...
Jamani, mtazamo wangu ni kwamba wanawake wa salon za kiume wanakutana sana na wanaume kila leo na hutoa mawasiliano kwa urahisi.
Pia mishahara yao si mikubwa hivyo wanategemea tips za wateja na...
Inawezekana vipi dada mtu mzima usijue ratiba za period yako?
Najua period haina kanuni maalum inaweza kukutokea ghafla lakini kwa dada anaejitambua lazima atachukua tahadhari.
Jana...
Jamani jumatano majira ya saa tisa usiku mke wangu amejifungua.
Si masihala, amezaliwa mtoto mzungu kabisaaa ila amefanana kila kitu na mimi (copy kabisa).
Hii ni hali ya kawaida? Ukoo wetu...
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.
*Hawa watu wana...
Katika umri wangu wa miaka 26 nimetongozwa na hata kutongoza sana. Na kwa kweli napenda sana kutongoza na kutongozwa. Kwangu mimi kutongoza/kutongozwa ni njia ya kupanua mawasiliano miongoni mwa...
By Stella Brikey
It is Saturday evening and this writer and a friend decide to go out for a beer. We choose the Q-Bar in Msasani, which comes highly recommended for its live music. The...
Natamani sana kuoa lakini sioi kwa sababu aina ya wanawake naotaka hawapo au wote wameolewa.
Ukiacha sifa za kwanza za mke mfano awe na upendo, mzuri, mvumilivu, mtafutaji, muelewa nk.
Mimi...