Uzuri wa kuoa single mothers na wadada over 35 years

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,482
Reaction score
11,690
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.

*Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao.
*Wanakuwa washapitia changamoto nyingi zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui.
*Wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
wana mazuri mengi.

Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa.
 
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.
*hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao
*wanakuwa washapitia changamoto nying zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui
*wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
*nk. nk. Wana mazuri mengi

Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa
Hapo kwenye nyekundu,nataka kujua kwanini akuhandle?!kwani we mtoto mdogo?
 
35 mzee wote mshafiwa na mke au mume au.. then huna mpango wa kuzaa
 
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.
*hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao
*wanakuwa washapitia changamoto nying zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui
*wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
*nk. nk. Wana mazuri mengi

Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa

Du 35+ kote huko, yaani siku hizi dada wa 20 years anakuwa ameshapitia mahusiano zaidi hata ya kumi sasa wewe kama unataka wa 35+ utakuwa unataka aliekubuhu yaani yule ambae alishachoka mwili na roho. Cha msingi kama unataka wife material muombe Mungu sana akupe wife material lakini kutaka kuoa eti alieumizwa eti kwako ndiyo atatulia unajidanganya nakuambia tena wengine hao walioumizwa huwa wameshajiwekea nadhiri kuwa hatakuja kuolewa na sasa ukimshawishi sana atakubali ila ukimfanyia kisa tu kidogo anaanza kukulinganisha na waliopita nae so suala la kuwowa unatakiwa utulize akili maana ndoa ni zaidi ya boyfriend na girlfriend
 
Sasaa above 35 wewe mwanaume hutaki mtoto...au utakuwa ni mwanaume ambaye unahitaji tuu kuishi bila mtoto?

Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.
*hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao
*wanakuwa washapitia changamoto nying zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui
*wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
*nk. nk. Wana mazuri mengi

Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa
 
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.
*hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao
*wanakuwa washapitia changamoto nying zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui
*wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
*nk. nk. Wana mazuri mengi

Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa

Kweli mkuu ulijuaje wako poa sana. hakika nimeuona uzuri wao
 
37 + 18 mtoto akifikisha = 55 Retirement age inaaproach...huyo ni wakwanza...
Wawili tuu wanakutosha wa fasta fasta... coz utakuwa ushaaproch retirement age kabisa... na chuo bado kuwasomesha...

Mimi nipo Dar nimezaa juzi na 37 bila shidaa na mimba haikunisumbua hata kidogo ! kama kwangu limewezekana hata mwingine inawezekana
 
ila kwa kweli mwanamke wkt wa kuolewa na kuzaa vyema asizidi 35 awe ashazaa...ili aweze lea na kusomesha watoto wkt nguvu ipo bado
 
sasa 25 ni age ambayo bado inasumbua, hawana uvumilivu, kiakili kukomaa vizuri kuelewa nini anataka ktk ndoa.....inakuwa ngumu kidogo ...At least from 27 utasema huyu sasa mwanamke

Ni wavumilivu sana na waelewa tofauti na hawa under 25
 
35+ atafute tu mtu mzima, say 40+ ili apate mtu wa kuzeeka nae.
 
Back
Top Bottom