Jamani nisaidieni hii mimba ni ya nani?

Jamani nisaidieni hii mimba ni ya nani?

IZENGOB

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
323
Reaction score
317
Nina mke wangu ambaye tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, kwa muda wote huo alikua hajawahi kupata ujauzito.

Nilipata safari ya kwenda nyumbani Tanga, niliporudi nikapewa taarifa kuwa mke wangu alilala na mdogo wake mpangaji mwenzangu na baada ya wiki mbili tangu nirudi mke wangu amekua na dalili za mimba je hii ni yangu au ya jamaa.

Ushauri unaruhusiwa ila kejeli na matusi no.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Nenda ukamfanyie DNA ili kubaini hiyo ni mimba ya nani,najua ni ya mkeo lakini ni vyema ikafahamika nani kaitunga ,tena kumbuka waswahili wanasema kitanda hakizai haram,lea mtoto no matter what. M/Mpamba.
 
tangu kipimo cha DNA kianza kutumika hapa nchini vitanda vingi tu vinazaa haram, na ndio kipimo kinacho ogopwa kwa sasa kuliko cha ukimwi
 
pimeni UPT, then wewe alone nenda spitali uangaliwe km una tatizo la ugumba. Km unalo uchune mlee mtoto na watakaokuja.
 
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala
asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda
kufungua mlango, si akakuta mchepuko wake,
MKE: Unataka nini we mpumbavu?
MUME: Nani huyo unamtukana?
MKE: Kuna mtu hapa anakichwa kama nenda
urudi badae
MCHEPUKO:Nawewe pua kama poa
MKE:Miguu kama masaa mawili
MCHEPUKO:Masikio kama sichelewi
MKE: Ondoka hapa mjinga we. …… Akafunga
mlango
MUME: mwambie ana macho kama sitoki leo
ng'oo
 
Yako mjomba...kitanda hakizai.....
Nina mke wangu ambaye tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, kwa muda wote huo alikua hajawahi kupata ujauzito. Nilipata safari ya kwenda nyumbani tanga,niliporudi nikapewa taaeifa kua mke wangu aligegedwa na mdogo wake mpangaji mwenzangu! na baada ya wiki mbili tangu nirudi mke wangu amekua na dalili za mimba je hii ni yangu au ya jamaa. Ushauri unaruhusiwa ila kejeli na matusi no.
 
yaan mlikaa wote two years hajapata mimba alaf umetoka mda mdogo huo kdogo mwenzako katupia! Kwan we mkuu una matatizo? jipange hapo shughuli
 
pimeni UPT, then wewe alone nenda spitali uangaliwe km una tatizo la ugumba. Km unalo uchune mlee mtoto na watakaokuja.
Auchune kwanini tena,yani akubali wife kuwa anagongwa nje?
 
Back
Top Bottom